• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Chalinze yang'ara Kitaaluma Mkoani Pwani

Imewekwa: March 6th, 2020


Halmashauri ya wilaya ya Chalinze,mkoani Pwani imeonekana kufanya vizuri katika matokeo ya darasa la saba kimkoa kwa mwaka 2019.


Mafanikio hayo yamebainika jana katika kikao cha wadau wa Elimu Mkoa wa Pwani kilichofanyika katika ukumbi wa ofisi ya Mkuu wa Mkoa. Kikao hicho kilihudhuriwa na maafisa Elimu wilaya,maafisa Elimu Taaluma,maafisa Elimu Vifaa na Takwimu ,waalimu na wadau mbalimbali wa  Elimu mkoani Pwani.


 Kikao hicho cha wadau wa Elimu kiliongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo. Katika kikao hicho kulifanyika tathmini ya mafanikio ya Elimu kwa kujadili changamoto zinazoikabili sekta ya Elimu mkoani Pwani na kubainisha mafanikio yaliyopatikana kwa kubadilishana uzoefu baina ya viongozi wa halmashauri za mkoa wa Pwani.


Katika hotuba yake Mgeni rasmi katika kikao cha wadau wa Elimu,Mkuu wa Mkoa alizipongeza halmashauri za mkoa wa Pwani kwa jitihada zinazofanywa na walimu mkoani Pwani katika kuinua kiwango cha ufaulu na kuwataka walimu kufanya kazi kwa bidii kama zilivyo sheria taratibu na kanuni za nchi.


Aidha katika tathmini hiyo Halmashauri ya Chalinze imeweza kuingiza shule mbili katika shule kumi bora kimkoa kwa maana ya shule za serikali na binafsi. Kwa shule za serikali pekee chalinze imeweza kuingiza shule tatu zilizoingia katika shule kumi bora shule hizo ni Kibiki,Mdaula B na Tukamisasa.


Kwa upande wa wanafunzi 10 bora wasichana kimkoa Chalinze imeweza kuingiza wanafunzi 8 kwa maana kuanzia wa kwanza hadi wa nane. Kwa upande wa wanafunzi kumi bora wavulana Chalinze iliingiza wanafunzi wanne.


Hivyo kwa tathmini hiyo, halmashauri ya Chalinze ilionekana kung'ara ukilinganisha na halmashauri zingine za mkoa wa Pwani.


Hata hivyo Mshindi wa kwanza kimkoa ni shule  ya Chalinze Modern Islamic kutoka Halmashauri ya Chalinze,shule hii imetunukiwa nishani ya ushindi na Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Waziri Kikwete Apokea Hundi ya Tsh Milioni 52 kutoka kiwanda cha Keda

    June 21, 2025
  • Chalinze yapongezwa kwa Hati Safi Mfululizo miaka mitano

    June 18, 2025
  • Mwenyekiti wa UWT akagua miradi ya maendeleo Chalinze

    June 13, 2025
  • Madiwani wa Pangani waipongeza Chalinze kwa Miradi ya mapato ya ndani

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.