• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Usafi na Mazingira

1.Utangulizi

Idara ya Usafi na Mazingira ni miongoni mwa Idara 13 katika Halmashauri ya wilaya ya Chalinze.Majukumu ya Idara hii ni kusimamia utunzaji/Uhifadhi wa Mazingira na Bioanuari, udhibiti wa uchafuzi wa Mazingira (Ardhi, maji, hewa na sauti, na kusimamia usafirishaji na ukusanyaji wa taka ngumu kutoka kwenye ,majengo, maeneo ya wazi, barabara na mifereji ya kuondoa maji ya mvua.

2. Vitengo na kazi zake

i.    Hifadhi ya Mazingira

a)    Kutenga maeneo ya upandaji wa miti, majani, maua,ukatiaji wa miti na upendeshaji wa mazingira.

b)    Kuhamasisha jamii kushiriki kupanda miti, majani,  maua ukatiaji wa miti na upendeshaji wa mazingir.

c)    Kuandaa na kufuatilia utekelezaji wa mipango ya halmashauri ya usimamizi wa mazingira kwa kuzingatia mpango kazi wa Taifa na usimamizi wa Mazingira.

d)    Kusimamia utekelezaji wa sera ,sheria na miongozo ya kulinda mazingira.

e)    Kuandaa taarifa ya hali ya mazingira.

f)    Kusimamia utunzaji wa vyanzo vya maji kwa kudhibiti utekelezaji wa shughuli yoyote inayoweza kuleta athari.

g)    Kutoa elimu ya hifadhi endelevu ya bioanuari.

h)    Kuweka na kusimamia mikakati ya kuongoa ardhi iliyoharibiwa na kuzuia uharibifu wa bioanuai.

i)    Kuhamasisha matumizi yateknolojia ya nishaji mbadala pamoja na majiko banifu.

ii.    Udhibiti uchafuzi wa Mazingira( Ardhi, maji, hewa na sauti)

a)    Kutoa elimu kwa jamii kuhusu njia bora za kudhibiti uchafuzi wa mazingira.

b)    Kuweka na kusimamia amri za kudhibiti uchafuzi wa Mazingira

c)    Kufuatilia uzingatiaji wa viwango vilivyowekwa vya majitaka yanayomwagwa kwenyemazingira ili kukidhi viwango vya mazingira

d)    Kufuatilia na kutathmini athari za uchafuzi wa mazingira katika makazi, viwanda, migodi, ujenzi, biashara, kilimo, na ufugaji.

iii.    Tathmini ya atahri kwa   mazingira

a)    Kufuatilia utekelezaji wa utaratibu wa tathmini ya athari kwa mazingira.

b)    Kufuatilia utekelezaji wa mpango na masharti ya tathmini ya athari kwa mazingira kwa kila mradi uliofanyiwa tathmini hiyo.

c)    Kuratibu utekelezaji wa kazi za kamati za mazingira na kamati za kudumu za halmashauri.

iv.    Udhibiti wa taka ngumu.

a)    Kusimamia uhifadhi wa muda,uchambuzi na usafirishaji wa taka ngumu.

b)    Kusimamia uendeshaji wa dampo.

c)    Kusimamia taka kuanzia zinapozalishwa hadi zinapotupwa kwa kuzingatia utenganishaji, ukusanyaji na uhifadhi, urejelezaji, uteketezaji katika matanuru maalumu na utupaji katika madampo.

d)    Kufanya tafiti ili kubaini aina ya taka zinazozalishwa.

3.Hitimisho.

Idara inashirikiana na jamii na wadau mbalimbali ili kuhakikisha Mazingira  yanatunzwa kwa faida ya sasa na vizazi vijavyo. Shughuli na miradi zinaendeshwa kwa kuzingatia hifadhi ya mazingira. Rasilimali  katika shughuli za kijamii na kiuchumi zinatumika kwa njia ambayo ni endelevu.



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Walimu wapewa maelekezo ya kazi Chalinze

    July 10, 2025
  • Kampeni ya Ugawaji vyandarua bila malipo yazinduliwa Chalinze

    July 10, 2025
  • Waziri Dkt Kijaji Azindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa Mkoani Pwani

    July 09, 2025
  • Waziri Kikwete Apokea Hundi ya Tsh Milioni 52 kutoka kiwanda cha Keda

    June 21, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.