• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Rasilimali watu na utawala
      • Elimu msingi
      • Elimu secondari
      • Mifugo na Uvuvi
      • Usafi na Mazingira
      • Maji na umwagiliaji
      • Fedha na Biashara
      • Mipango Takwimu na ufuatiliaji
      • Afya
      • Ardhi na maliasili
      • Maendeleo ya Jamii,Jinsia na Vijana
      • Kilimo,Ushirika na Umwagiliaji
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Tehama na Uhusiano
      • Ufugaji Nyuki
      • Ugavi
      • Uchaguzi
      • Ukaguzi wa Ndani
      • Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

JINSI YA KUPATA LESENI YA BIASHARA

Leseni ya biashara ni kibali ambacho hutolewa na mamlaka husika kwa mfanyabiashara au mtoa huduma.

Leseni za biashara hutolewa na wakala wa usajili wa biashara na leseni (brela), halmashauri za manispaa, halmashauri za majiji, halmashauri za miji na halmashauri za wilaya kwa kuzingatia kundi la leseni inayotolewa.

Leseni za biashara zimegawanyika katika makundi mawili A na B.

katika kundi A kuna biashara ambazo leseni zake hutolewa na wakala wa biashara na leseni (brela).kundi hili ni leseni  zenye mtaji mkubwa  zinazojumuisha leseni za uuzaji wa bidhaa nje ya nchi, huduma za mawasiliano, bandari, vilabu vya usiku, sonara, uchimbaji madini, uuzaji na usambazaji silaha, vyombo vya habari, hoteli za kitalii, huduma za kifedha, taasis za kifedha na mitaji,bima n.k

katika kundi B ni leseni zinazotolewa na halmashauri za manispaa, halmashauri za majiji, halmashauri za miji na halmashauri za wilaya. Katika kundi  A kuna biashara za viwanda vidogo, hoteli zisizo za kitalii, vyama vya ushirika, makumpuni ya ujenzi, taaluma muhimu, zahanati, maduka ya dawa muhimu za binadamu, pembejeo za kilimo, migahawa,kalakana, uandishi wa vitabu na magazeti, vituo vya mafuta, spea mbalimbali, shule za binafsi, minada, pembejeo za kilimo, wahandisi wa umeme, maduka ya kuuza bidhaa kwa jumla na reja reja n.k

Biashara za kundi B leseni zake hutolewa na halmashauri ya eneo husika ambapo biashara inafanyika

Utoaji wa leseni za biashara unazingatia kifungu cha 11(1) cha sheria ya leseni za biashara namba 25 ya mwaka 1972 na marekebisho yake

Gharama za leseni hubadilika mara kwa mara kulingana na inavyopendekezwa na mamlaka husika.

Kufanya biashara bila leseni ni kosa kisheria hivyo ni vyema kuchukua hatua za kurasimisha biashara yako kisheria

Maombi ya leseni ya biashara

Ili kupata leseni ya biashara muombaji:-

  • Kujaza fomu ya maombi ya biashara ambayo hupatikana katika halmashauri husika
  • Kuhakikisha nyaraka zote muhimu zinazohitajika ili kuweza kupata leseni yako mapema. Nyaraka hizo ni kama vile
  • Hati ya utakaso wa mlipa kodi (tax clearance certificate) kutoka TRA
  • Cheti cha usajili wa kampuni, katiba ya kampuni. (kwa leseni za   makampuni)
  • Mkataba wa kodi ya pango kama sehemu ya biashara umepanga
  • Namba ya utambulisho wa mlipa kodi (TIN)
  • Vyeti kutoka katika mamlaka husika kama TCRA(kwa leseni za mawasiliano),TFDA na TBS (kwa  vyakula na dawa), EWURA (kwa uagizaji na usambazaji mafuta)

Nyaraka zote zinazo hitajika ziambatanishwe pamoja na fomu ya maombi

  • Baada ya kukamilisha nyaraka zote mteja atapewa bili (invoice)kulingana na aina ya biashara yake na kwenda kulipia benki
  • Mchakato hukamilishwa kwa mteja kuchukua leseni yake na kupewa maelezo/ elimu ya uendeshaji biashara

Kumbuka

  • leseni ya biashara hulipwa kila baada ya mwaka mmoja toka siku imelipiwa.
  • Leseni ya biashara lazima itumike kwa biashara na mahali ilipoombwa tu
  • Mfanyabiashara mmoja anaweza kuwa na leseni zaidi ya moja kulingana na idadi ya biashara alizonazo
  • Viwango vya kulipia leseni ya biashara unaweza kuvipata mtandaoni kwa kutafuta sheria ya fedha na 2 ya mwaka 2014 (finance Act no. 2 of 2014)

Matangazo

  • KUITWA KWENYE USAILI December 04, 2021
  • TANGAZO LA AJIRA ZA MUDA KWA AJILI YA KAZI YA ANUANI YA MAKAZI February 16, 2022
  • TANGAZO LA MAUZO YA VIWANJA November 12, 2021
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Afya ya Msingi yaweka Mikakati ya Mapambano dhidi ya Polio

    April 28, 2022
  • RC Kunenge awataka Madiwani Chalinze kujifunza siku zote

    April 16, 2022
  • Mafunzo ya Teknolojia ya Vitalu Nyumba yatolewa kwa Vijana 100 Chali

    March 31, 2022
  • Waziri Aweso azitaka Mamlaka za Maji nchini Kuwaunganishia Wananchi Maji ndani ya Siku Saba

    March 19, 2022
  • Tazama zote

Video

Waziri OR-TAMISEMI Mhe. Selemani Jafo akihimiza ukusanyaji Mapato kwenye mamlaka za serikali za Mitaa
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • Mfumo wa Bajeti
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2015/2016
  • WAZO LA WAZIRI
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • JINSI YA KUJISAJILI NA KUPATA NAMBA YA MLIPA KODI (TIN NAMBA)

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    Lugoba Chalinze

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.