• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Maji na Umwagiliaji

A: UTANGULIZI

Idara ya maji inahusika na usimamizi wa sera ya maji ya mwaka 2002 na sheria za maji namba 11 na 12 za mwaka 2009 (National Water policy, 2002, The Water supply and sanitation Act , 2009, The water resources management Act, 2009). Idara hii kwa eneo kubwa inahusika na kusimamia utoaji wa huduma ya maji kwa matumizi ya majumbani, na kiasi Fulani matumizi mengineyo kama viwanda, migodi, kilimo na mifugo.

B: VITENGO VYA IDARA

Idara ina vitengo vifuatavyo:

(i)    KITENGO CHA MIPANGO NA UJENZI WA MIRADI (planning and construction section)

•    Kufanya usanifu wa miradi , kuandaa nyaraka za mradi

•    Kusimamia ujenzi/ukarabati wa miradi mbalimbali

•    Kutunza takwimu za miradi inayojengwa/karabatiwa

(ii)    KITENGO CHA UENDESHAJI NA MATENGENEZO YA MIRADI (Operations and maintenance section)

•    Kusimamia uendeshaji wa miradi vijijini na kutunza kumbukumbu za miradi yote, teknolohjia itumikayo, nishati inayotumika n.k.

•    Kutoa ushauri wa kiufundi kwa vyombo vya watumiaji maji, ikiwemo upangaji wa bei ya maji

•    Kutoa ushauri wa uhifadhi wa kumbukumbu za uendeshaji wa mitambo, na fedha/mali za mradi

(iii)    USAJILI WA VYOMBO HURU VYA WATUMIAJI MAJI ( COWSO registration)

•    Kuwezesha wananchi kuunda chombo huru cha uendeshaji na usimamizi wa mradi wa maji vijijini (COWSOs)

•    Kusajili COWSOs kwa mujibu wa sheria namba 12 ya mwaka 2009

•    Kusimamia COWSO kuendeshwa kwa mujibu wa katiba zao

•    Kuwajengea uwezo wa mafunzo mbalimbali COWSO kadri ya mabadiliko ya muda na sheria/kanuni

C: MAJUKUMU YA IDARA:

Majukumu ya Idara  ya Maji kwa ujumla ni kama ifuatavyo:

i)    Kuandaa mpango wa maji na usafi wa mazingira wa Halmashauri na kuutekeleza kwa kipindi maalumu.(Council Water Supply and Sanitation plan)

ii)    Kusimamia ujenzi wa miradi ya maji wilayani kwa fedha za Halmashauri za vijiji, Halmashauri ya Wilaya, Serikali kuu, Wahisani mbalimbali kwa mujibu wa viwango vilivyokubaliwa.

iii)    Kusimamia uendeshaji wa miradi ya maji kwa kupitia vyombo huru vya watuamiaji maji (COWSOs)

iv)    Kusimamia viwango vya maji (water quality) na viwango vya utoaji huduma (service levels) kwa watumiaji maji vinavyotolewa na COWSOs

v)    Kusimamia uhifadhi wa vyanzo vya maji mbalimbali vya asili na vilivyojengwa katika Halmashauri,

vi)    Kusajili na kutoa leseni kwa COWSOs ya uendeshaji na usimamizi wa huduma za maji katika Halmashauri

vii)    Kuandaa na kuhuisha Kanzidata za hali ya upatikanaji wa maji katika Halmashauri




Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Walimu wapewa maelekezo ya kazi Chalinze

    July 10, 2025
  • Kampeni ya Ugawaji vyandarua bila malipo yazinduliwa Chalinze

    July 10, 2025
  • Waziri Dkt Kijaji Azindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa Mkoani Pwani

    July 09, 2025
  • Waziri Kikwete Apokea Hundi ya Tsh Milioni 52 kutoka kiwanda cha Keda

    June 21, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.