• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Baraza la Madiwani Chalinze lapitisha Rasimu ya Bajeti ya Bilioni52.6 kwa mwaka wa fedha 2023/2024

Imewekwa: February 11th, 2023


BARAZA la Madiwani wa Halmashauri ya Chalinze limepitisha rasimu ya bajeti  ya mwaka wa fedha 2023/2024 sh. Biln 52.6  itakayotekeleza miradi mbalimbali ya Maendeleo.

Akiwasilisha makadirio hayo katika kikao cha Baraza la Bajeti Mkurugenzi Ramadhani Possi amesema kati ya fedha hizo sh. Biln 32.7 ni ruzuku kutoka Serikali kuu, Biln 14.9 Makusanyo ya ndani na sh.Biln 4.9 ni kutoka kwa wahisani.

Amesema feha hizo zitatumika kwa ajili ya kutekeleza miradi ya maendeleo, mishahara ya watumishi na matumizi ya ofisi.

Akizungumza katika Baraza hilo Mwenyekiti wa Halmashauri hiyo Hassan Mwinyikondo pamoja na baadhi ya Madiwani wa waamepongeza bajeti hiyo na kuasema inakwenda kuwakomboa wananchi wa Chalinze.

Mwinyikondo amesema Maendeleo katika Halmashauri hiyo yanaenda kwa kasi kutokana na ushirikiano kati ya Madiwani na wataalamu.

" Katika makusanyo ya ndani kwa  mwaka wa fedha 2022/2023 tulikadiria sh Biln 13 na hadi sasa tumekusanya kwa asilimia 55 kwa bajeti hii inayoendelea, tunampongeza Rais kwa hali inayoonekana nchi inaenda vizuri na maendeleo yanapatikana" amesema Mwinyikondo.

Akitoa Salamu za Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Kaimu Katibu Tawala wa wilaya hiyo Salum Gumbo alisema makadirio hayo ya bajeti endapo yatapitishwa yataenda kutatua vikwazo kwa wananchi kuanzia ngazi ya chini.

Gumbo amesema Mkuu huyo wa Wilaya amewaomba Madiwani kufuatilia fedha zinazotengwa kwenye miradi iliyokusudiwa zitumike kama zilivyoelekezwa.

Aidha maelekezo pia yametolewa kwa watendaji kuanzia ngazi ya Kata kushughulikia migogoro ya wakulima na wafugaji itatuliwe kwa wakati na kuruhusu shughuli za maendeleo kufanyika.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.