• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Baraza la Madiwani lamchagua Mhe. Leon Lucas Mgweno kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze.

Imewekwa: December 6th, 2025

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Chalinze leo, Desemba 6, 2025, limempitisha Diwani wa Kata ya Mandera, Mhe. Leon Lucas Mgweno, kuwa Mwenyekiti wa Baraza hilo.


Uapisho wa Mhe. Mgweno umefuatiwa na uchaguzi mdogo uliofanywa na Madiwani ambapo alipata kura 20 za ndiyo, na hivyo kuthibitishwa rasmi kuongoza baraza hilo.


Aidha, Baraza limemchagua Mhe. Mawazo Mkufya, Diwani wa Kata ya Kibindu, kuwa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze.


Mara baada ya uapisho huo, Baraza limeunda na kuteua kamati za kudumu, hatua inayofungua rasmi mwanzo wa utekelezaji wa majukumu ya uwakilishi kama walivyopewa dhamana na Wananchi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Baraza la Madiwani lamchagua Mhe. Leon Lucas Mgweno kuwa Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze.

    December 06, 2025
  • Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo, Abubakari Mlawa, amewapongeza viongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze na kuwataka madiwani kutekeleza kikamilifu ahadi walizowapa wananchi wakati wa kampeni

    December 06, 2025
  • Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo, Mhe. Shaibu Issa Ndemanga, ametoa wito kwa madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kuendelea kutekeleza majukumu yao kwa kuzingatia sheria, kanuni na miongozo ya Serikali

    December 06, 2025
  • Mafunzo ya siku mbili yaliyokuwa yanatolewa kwa Maafisa Maendeleo ya Jamii na Maafisa Ustawi wa Jamii kuhusu uibuaji mikakati ya kukabiliana na mila zenye madhara yamehitimishwa leo Halmashauri ya Chalinze.

    December 05, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.