• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Baraza la Madiwani Robo ya Kwanza kwa mwaka 2022/2023 lafanyika.

Imewekwa: November 11th, 2022


Mkutano wa Baraza la Madiwani kwa robo ya Kwanza 2022/2023 umefanyika leo katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete na kuhudhuriwa na wageni waalikwa na wananchi kwa ujumla.


Mkutano huo wa wazi umeongozwa na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze Mheshimiwa Hassani Mwinyikondo,katika Mkutano huo Wakuu wa Taasisi mbalimbali zinazojitegemea kama TARURA,DAWASA,RUWASA na TANESCO waliwasilisha taarifa mbalimbali za utekelezaji wa Taasisi zao katika Mkutano wa wa Madiwani na kupokelewa.


Mwenyekiti wa Halmashauri aliwapongeza wakuu wa Taasisi hizo kwa kuonyesha ushirikiano katika utekelezaji wa masuala mbalimbali yanayohusu huduma kwa jamii na kuwaomba waendelee kufanya kazi kwa kushirikiana na Halmashauri ili kuondoa kero na malalamiko yanayoweza kutokea endapo hapatakuwa na ushirikiano.


Baada ya kupokea taarifa za Taasisi wezeshi zinazofanya kazi na Halmashauri,Mwenyekiti wa Mkutano huo aliwakaribisha wenyeviti wa kamati za kudumu za Halmashauri kwa maana ya Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira,Kamati ya Afya,Elimu na Maji na Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango ili kuwasilisha taarifa za Utekelezaji kwa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022/2023.


Baada ya uwasilishaji wa taarifa za utekelezaji wa miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa robo ya kwanza,kwa kauli moja wajumbe wa Baraza la Madiwani walipokea taarifa hizo pasipo Mabadiliko yoyote.


Mwenyekiti wa Halmashauri katika hotuba yake ya kufunga Mkutano wa Baraza la Madiwani aliwapongeza Madiwani kwa kazi nzuri wanazozifanya katika kuwaletea Maendeleo wananchi wa Chalinze na kuwashukuru kwa umakini wao katika vikao vya kamati za kudumu kwani kutokana na umakini huo wameweza kutumia muda katika uwasilishaji wa taarifa zao.

“Tumemaliza kikao chetu cha robo ya kwanza tuendelee Kusimamia miradi yetu ya Maendeleo katika kata zetu na palipo na changamoto tuwasiliane kwa ufumbuzi pasipo kuchelewa na niwatakie kila la Kheri katika Majukumu yenu.” Mwinyikondo alisema.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.