• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Baraza la Mamlaka ya Mji Mdogo Chalinze lakutana

Imewekwa: November 25th, 2020


 Mamlaka ya mji mdogo Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze leo siku ya Tarehe 25/11/2020 imekaa kikao chake cha baraza cha kwanza cha robo ya kwanza katika ukumbi wa Halmashauri ya Chalinze.

Kikao hicho cha baraza cha mamlaka mji mdogo kilikuwa na lengo la kupokea na kujadili taarifa za kamati mbalimbali kwa lengo la kuona jinsi Mji mdogo Chalinze ukipiga hatua kimaendeleo.

Mwenyekiti wa Baraza hilo la Mamlaka Bw Rashid Sadala Maisha amezitaja na kuzipongeza kamati zote kwa kufanya kazi zao kwa weredi na kuwasihi kuchapa kazi.

“ Mamlaka ya Mji ina kamati zake tatu ambazo ni Kamati ya Afya, Maji  na Elimu, Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira pamoja na kamati ya Fedha uongozi na Mipango. Kamati zote hizi nazipongeza sana kwa kufanya kazi zake kwa weredi pia nawasihi kuendelea kufanya kazi kwa bidii ili kutatua changamoto zinazowakabili wananchi ”. Bw Rashid Sadala.

Kaimu Mtendaji wa Mamlaka Bw: John Mlyambate amewahimiza wajumbe pamoja na wataalamu kuwa na ushirikiano ili kufanya kazi kwa Ufanisi.

“ Ninawaomba Waheshimiwa wajumbe tuwe na Ushirikiano baina yetu pamoja na wataalamu kwani kufanya hivi kutasaidia kufanya kazi yenye tija kwa jamii tunayoiongoza na Taifa  kwa ujumla”. John Mlyambate.

Pamoja na hayo Afisa Tarafa ya Chalinze Ndg Thomas Mollel  Amewasihi wajumbe,watendaji na wataalamu kusimamia rasilimali na kuwa waadilifu kwa dhamana walizopewa.

“Ninawasihi ndugu wajumbe na wataalamu wote tuwe waadilifu kwa dhamana tuliopewa na serikali kuwatumikia wananchi ili kuleta maendeleo ndani ya Chalinze na Taifa kwa ujumla”. Thomas Mollel.

Nao baadhi ya wajumbe wa kamati wametoa mapendekezo kwa Baraza la Mamlaka ya mji mdogo ili kuleta maendeleo na kufanya kazi kwa ufanisi  ambapo wametaja mapendekezo hayo ni pamoja na elimu kwa wajumbe wapya wa baraza la mamlaka ya mji mdogo, Ziara za ukaguzi wa miradi mbalimbali, maboresho ya dampo au sehemu ya kuhifadhia taka, Alama za kuvuko cha barabarani  pamoja na kuwaalika wataalam wengi zaidi katika vikao.

Ikumbukwe kuwa Mamlaka ya Mji mdogo Chalinze unaundwa na kata kuu mbili ambazo ni Kata ya Bwilingu pamoja na Kata ya Pera.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.