• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Baraza la wafanyakazi limeridhia Mapendekezo ya Bajeti Chalinze

Imewekwa: February 11th, 2019




Mapendekezo ya Bajeti ya Halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa mwaka 2019/2020 yamepitiwa na kujadiliwa katika kikao cha Baraza la wafanyakazi wa Halmashauri ya Wilaya leo katika Ukumbi wa shule ya sekondari ya Lugoba, kikao hicho kimeongozwa na Mwenyekiti wa baraza la wafanyakazi wa Halmashauri ambaye ni Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze Bi Amina Kiwanuka.


Katika kikao hicho Afisa Mipango wa wilaya Bwana Shabani Millao ,aliwasilisha Mapendekezo ya Bajeti ya Jumla ya fedha za kitanzania bilioni 50.6 kwa kuainisha bajeti ya maendeleo,mishahara,ruzuku,mapato ya ndani,michango ya Jamii na Ada za shule  kwa mwaka wa fedha 2019/2020. Naye Afisa Utumishi na Utawala wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze ,Bi Jane Mfuko alitoa ufafanuzi kuhusu watumishi watakao panda vyeo na watumishi watakao badilishiwa kazi yaani "Recategorization" kwa mwaka wa fedha wa 2019/2020.Mfuko aliendelea kufafanua kuwa Mapendekezo haya siyo bajeti iliyoidhinishwa, bali ni Mapendekezo ya Bajeti ambayo yanaweza yakawa yalivyo au sivyo kutokana na vikao vya juu baada ya kuwa vimeridhia mpango huo. 


Kikao hiki ni kwa mujibu wa sheria ya Bajeti inayotaka Mapendekezo ya Bajeti kupitiwa na baraza la wafanyakazi kabla ya kujadiliwa na vikao vya baraza la madiwani, ili wafanyakazi na vyama vya wafanyakazi kujiridhisha kama stahiki za wafanyakazi zimezingatiwa kwa mujibu wa sheria na miongozo ya Bajeti. 

Kwa upande wake Katibu wa chama cha walimu wilaya ya Bagamoyo, Bi Sekela Mlaga alitoa maoni yake katika Mapendekezo ya Bajeti hiyo kwa kuwataka wakuu wa Idara hususan Elimu kuzingatia stahiki za watumishi, kama likizo,motisha kwa wafanyakazi hodari na stahiki nyinginezo zizingatiwe katika mpango huu wa bajeti Kwani stahiki hizi huwatia moyo watumishi katika utendaji kazi wao.

Naye Katibu wa TUGHE mkoa wa Pwani, Bwana Shadrack Mkodo alitoa rai yake katika Mapendekezo ya Bajeti kwa kuwasemea wafanyakazi ambao wamekuwa wakiwekwa katika mpango wa kupanda vyeo kwa miaka mitatu mfululizo iliyopita, lakini mpaka sasa hawajawahi kupanda na bado hata katika Mapendekezo ya Bajeti hii wamo pamoja na waliofikia kupanda kwa mwaka huu rasmi. Kutokana na kero hiyo kwa wafanyakazi ameiomba serikali kuwatendea haki watumishi hao ili wapate stahiki zao kwa wakati.

Hata hivyo baada ya wajumbe wa baraza la wafanyakazi kupitia Mapendekezo ya Bajeti kwa kila kipengele kwa pamoja walishauri na mwisho waliridhia mapendekezo hayo. 





Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.