• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Benki ya Stanbic yatoa Vifaa tiba Miono

Imewekwa: June 6th, 2020

Benki ya Stanbic Bank Tanzania imetoa msaada wa vifaa tiba katika kituo cha Afya Miono , vifaa hivyo vilitolewa jana. Stanbic Bank imetoa Vifaa tiba hivyo ili kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuboresha huduma za afya kwa wananchi .

Kabla ya makabidhiano ya vifaa tiba hivyo watumishi wa Stanbic Bank na Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete walikagua miundombinu ya kituo cha Afya Miono na kuona ubora wa kituo hicho.

Baada ya Ukaguzi wa miundombinu hiyo mwakilishi wa Stanbic Bwana Richard Chenga alikabidhi vifaa tiba hivyo kwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete vyenye thamani ya fedha za kitanzania Milioni 9.4,Vifaa tiba hivyo vitakuwa ni suluhisho la matatizo ya kiafya kwa wananchi wa Miono kwani huduma zitakazo tolewa kituoni hapo hakutakuwa na sababu ya wagonjwa kwenda hospitali ya wilaya.

Baada ya makabidhiano hayo Mheshimiwa Kikwete alitoa shukrani zake kwa Benki ya Stanbic kwa niaba ya wananchi wa Chalinze na kuiomba menejimenti ya Benki ya Stanbic kuendelea kuwa na uzalendo katika kuunga mkono juhudi za Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli katika kuhakikisha mtanzania anapata huduma bora za afya popote alipo.

Aidha Mheshimiwa Kikwete alikabidhi vifaa tiba hivyo kwa Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya chalinze Bi Zainabu Makwinya ili vifaa hivyo viweze kutumika katika Kituo hicho cha afya.

Kwa upande wake Kaimu Mkurugenzi wa halmashauri ya Chalinze Bi Zainabu Makwinya alishukuru Benki ya Stanbic kwa kutoa vifaa tiba vizuri na vya kisasa na kuwataka wataalam wa afya katika kituo cha Afya Miono kuvitunza vifaa tiba hivyo na kuvitumia kwa uangalifu ili viweze kutumika kwa muda mrefu na kwa malengo yaliyokusudiwa.

Naye Diwani wa kata ya Miono Mheshimiwa Juma Mpwimbwi alimshukuru Mheshimiwa Mbunge kwa juhudi anazozifanya katika kutafuta wahisani mbalimbali wanaoweza kuisaidia halmashauri ya chalinze na akawashukuru Benki ya Stanbic kwa moyo wao wa upendo hata kuweza kuwakumbuka wananchi wa Miono.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Madiwani wa Pangani waipongeza Chalinze kwa Miradi ya mapato ya ndani

    June 11, 2025
  • DC Ndemanga Aongoza Kikao cha Tathmini ya Utekelezaji wa Mkataba wa Lishe

    June 10, 2025
  • Mkutano Mkuu wa Kijiji cha Tukamisasa waazimia Mwenyekiti Kupisha Uchunguzi

    June 10, 2025
  • Waziri Kikwete atua Geneva kushiriki Mkutano wa 113 wa Shirika la kazi Duniani

    June 04, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.