• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Chalinze DC yafanya Baraza la Kata Robo ya Pili

Imewekwa: February 18th, 2022

Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze imefanya kikao cha baraza la kata la robo ya pili kwa mwaka wa fedha2021/2022 ikiwa dhumuni la baraza hilo ni kupokea taarifa za maendeleo kutoka katika kila kata zilizopo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze mkoani Pwani.

Mara baada ya kupokelewa kwa taarifa za kata kutoka kwa madiwani wote,Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze Mhe. Rajabu Mwinyikondo 

“dhamira yetu ni kuona Halmashauuri yetu inakusanya inakusanya mapato ya Shilingi Bilioni 1.5 kwa mwezi ikiwa kama  tutafanya kazi kwa kushirikiana na kila mmoja akitimiza majukumu yake na kuwa na lengo la kuisaidia serikali ya Tanzania kwa kufanya kazi kwa bidii na kwa kufuata kanuni na taratibu.”Alisema Mhe. Mwinyikondo.

Vilevile Mhe. Mwinyikondo ameongeza kwa kuwaasa maafisa Tarafa na Watendaaji wa kata kuwapa ushirikiano madiwani na watendaji wa Halmashauri ili kuona mapato yanakusanywa kwa ufanisi na kuondoa mianya ambayo inasababisha kukosekana kwa mapato katika Halmashauri.

Aidha Katibu tawala Wilaya ya Bagamoyo Bi. Casilida Mgeni ambaye ni mwakilishi wa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo ametoa hotuba fupi na ameipongeza Halmashauri ya Chalinze kupitia kwa mwenyekiti wake kwa kusimamia vyema suala la ukusanyaji wa mapato na uanzishwaji wa vyanzo vipya vya mapato.

“Niwapongeze Halmashauri ya Chalinze kupitia kwa Mwenyekiti Mhe. Hassan Mwinyikondo kwa kuongoza jitihada kwa kuhakikisha mapato ya Chalinze yanapanda kwasababu kutoka kukusanya Milioni 778 mwezi disemba mpaka kukusanya Bilioni 1 mwezi mmefanya kazi kubwa na mnastahili kupongezwa  na naomba kwaniaba ya Mkuu wa Wilaya niseme tu muendelee na jitihada hizo na muendelee kufichua vyanzo vingine vya mapato na  sisi kama Wilaya tumepata taarifa kuwa matokeo ya fedha nyingi mwezi januari   ni kutokan na ziara yako Mheshimiwa Mwenyekiti kupita kwenye vyanzo vya mapato na kuendelea kufichua vyanzo ambavyo vimejificha”.Amesema Bi. Kasilida Mgeni

 Vilevile kwaniaba ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mwenyekiti wa Chama Wilaya ya Bagamoyo Ndg.Sharifu ametoa nasaha za Chama kwa kuhimiza ushirikiano na ufanisi katika kazi ili kufikia malengo ya Ilani ya Chama ambapo alisema  

“Tunaomba ushirikiano uendelee kwasababu panapo maendeleo changamoto hazikosekani na naomba ushirikiano baina ya madiwani,wataalamu na watendaji kata uweze kuendelea kwa kuhakikisha shughuli za Halmashauri na ukusanyaji wa mapato unafanyika kwa ufanisi mkubwa ili .kuona sekta zote zinafanikiwa na kufikia malengo kulingan na ilani yetu ya Chama Cha Mapinduzi”. Alisema Ndg. Sharifu

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.