• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Chalinze kinara kwa pato ghafi kwa hal

Imewekwa: August 16th, 2019


Halmashauri ya wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani imeibuka kidedea kwa kukusanya pato ghafi jumla ya fedha za kitanzania bilioni 7.6,na kuwa kinara kwa halmashauri za wilaya nchini Tanzania kwa mwaka wa fedha 2018/2019.
    Taarifa ya kuongoza kwa halmashauri hiyo imetolewa na waziri wa nchi Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa,Mhe Selemani Jafo leo Jijini Dodoma alipokuwa akizungumza na watanzania kupitia mkutano wa waandishi wa Habari ili kuwajuza watanzania juu ya ukusanyaji wa mapato katika mamlaka za serikali za mitaa nchini.
    Waziri Jafo katika taarifa yake kwa vyombo vya Habari aliitaja halmashauri ya wilaya ya Chalinze kuwa halmashauri iliyoongoza kwa kukusanya pato ghafi la jumla ya fedha za Kitanzania bilioni 7.6 na kuwa kinara kwa halmashauri za wilaya nchini kwa kuvuka lengo la makisio ya bajeti kwa asilimia 32 hivyo kukusanya kwa asilimia 132.
    Mheshimiwa Jafo ameipongeza halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa kuibuka kidedea kwa maana ya kukusanya kwa ziada na kuwataka watendaji wa halmashauri nchini kuibua mikakati bora zaidi kwa mwaka wa fedha 2019/2020 ili kufikia malengo ya ukusanyaji mapato kulingana na mpango na bajeti kwa kila halmashauri.
     Kwa upande wake Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Chalinze Mheshimiwa Saidi Zikatimu baada ya kusikia taarifa ya Waziri Jafo kuhusu Chalinze kuwa kinara kwa halmashauri za wilaya nchini aliwapongeza watendaji wa halmashauri na madiwani kwa kufanya kazi kwa ushirikiano. ‘Tulifanya kazi kama timu na malengo ilikuwa ni kutekeleza miradi ya maendeleo tumetekeleza na tunasonga mbele “.Zikatimu alisema.
         Naye Mkurugenzi wa halmashauri ya wilaya ya Chalinze Bi Amina Kiwanuka amewashukuru madiwani,wataalamu wa halmashauri kwa ushirikiano wa hali ya juu katika suala la ukusanyaji mapato.”Kwa juhudi za pamoja ndizo zilizozaa matunda hata tukafikia hatua ya kuongoza kwa kuwa na pato ghafi la fedha za kitanzania bilioni 7.6 na kuwa kinara kwa halmashauri za wilaya nchini “.Kiwanuka alieleza.
     Hata hivyo Mkurugenzi Kiwanuka aliendelea kumshukuru Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo Mhe Zainabu Kawawa na kamati yake ya ulinzi na usalama kwa kutoa ushirikiano mkubwa katika suala zima la ukusanyaji mapato na kuendelea kuomba ushirikiano wa hali ya juu kwa mwaka wa fedha 2019/2020 kwa ufanisi zaidi na zaidi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.