• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Chalinze yatoa mafunzo ya wagawa Dawa za Kinga tiba dhidi ya mabusha na matende

Imewekwa: May 16th, 2025



Halmashauri ya Chalinze kupitia Idara ya Afya imeendesha mafunzo kwa Wagawaji Dawa za Kinga Tiba (Community Drug Distributors) kwa ajili ya kupambana na magonjwa ya mabusha na matende katika kata ya Bwilingu. Mafunzo hayo yamelenga kuwajengea uwezo wahudumu hao wa afya ngazi ya jamii ili kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na salama katika zoezi la ugawaji wa dawa hizo.


Mafunzo hayo yametolewa leo katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete kwa wahudumu wa afya kutoka kata ya Bwilingu na vitongoji vyake, ikiwa ni maandalizi ya zoezi la kitaifa la ugawaji wa dawa dhidi ya magonjwa yasiyopewa kipaumbele. Mafunzo hayo yamehusisha mbinu za utoaji dawa, usalama wa mgonjwa, na namna ya kutoa elimu kwa jamii kuhusu madhara ya mabusha na matende.


Akizungumza wakati wa mafunzo hayo, Mratibu wa Magonjwa Yaliyokuwa Hayapewi Kipaumbele katika Halmashauri ya Chalinze, Dkt. Waziri Mkuwili alisema kuwa zoezi la ugawaji wa dawa litaanza rasmi mwishoni mwa mwezi Mei katika kata ya Bwilingu na vitongoji vyake. Alisema lengo ni kuokoa afya za wananchi na kuhakikisha ugonjwa huo unatokomezwa katika jamii.


Dkt. Mkuwili alibainisha kuwa zoezi hilo litakuwa endelevu, likihusisha ufuatiliaji na tathmini ya mara kwa mara ili kubaini hali halisi ya maambukizi. Aliongeza kuwa magonjwa yasiyopewa kipaumbele kama mabusha na matende huathiri zaidi jamii maskini, hivyo juhudi hizi ni muhimu katika kuleta usawa wa kiafya na kupunguza umaskini.


Mpango huo unatekelezwa chini ya kauli mbiu isemayo, “Hakuna umasikini, hakuna magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele; hakuna magonjwa yaliyokuwa hayapewi kipaumbele, hakuna umasikini”, ikiwa ni sehemu ya malengo ya kutokomeza kabisa mabusha na matende nchini Tanzania ifikapo mwaka 2030. Halmashauri ya Chalinze imejipanga kuhakikisha wananchi wote wanapata tiba na kinga dhidi ya magonjwa haya hatarishi.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.