• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

DAWASA Chalinze yafanya kikao kazi na Baraza la Madiwani

Imewekwa: December 12th, 2024


Na John Mlyambate


Mkoa wa Kihuduma DAWASA Chalinze umefanya kikao kazi na Baraza la Madiwani wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kwa lengo la kuboresha huduma za usambazaji wa maji kwa wananchi. Kikao hicho kimefanyika leo katika Ukumbi wa Mikutano wa Jakaya Kikwete.


Katika kikao hicho, Meneja wa DAWASA Chalinze, Bw. Abraham Mwanyamaki, akiwasilisha taarifa ya taasisi yake, alielezea hali ya upatikanaji wa maji, utekelezaji wa miradi ya maji, na changamoto zinazokwamisha utoaji wa huduma stahiki kwa wananchi. Bw. Mwanyamaki alisisitiza kuwa DAWASA inajitahidi kukabiliana na changamoto hizo ili kuboresha huduma.


Baada ya wasilisho hilo, madiwani walitoa michango mbalimbali. Mheshimiwa Juma Mpwimbwi, Diwani wa Kata ya Miono, alihimiza DAWASA kupunguza gharama za maji, akisema kuwa bei ya maji kwa Chalinze ni ya juu ukilinganisha na maeneo mengine yanayohudumiwa na DAWASA.


Mheshimiwa Malota Kwagga, Diwani wa Kata ya Kiwangwa, aliipongeza DAWASA kwa juhudi zake licha ya changamoto wanazokutana nazo. Aliahidi kushirikiana na taasisi hiyo katika kulinda miundombinu ya maji ili kuepuka uharibifu unaosababishwa na watu wasio waaminifu.


Kwa upande wake, Mheshimiwa Jackson Mkango, Diwani wa Kata ya Pera, alitoa pongezi kwa DAWASA kwa ushirikiano mzuri na kata yake, huku akihimiza kuimarisha huduma katika maeneo yenye changamoto. Naye Mheshimiwa Ngeregezya, Diwani wa Kata ya Mkange, alieleza kuwa huduma ya maji katika kata yake inapatikana isipokuwa katika maeneo machache yanayokumbwa na uharibifu wa mabomba.


Mheshimiwa Debora Rashidi, Diwani wa Viti Maalum Tarafa ya Msoga, alitoa wito kwa madiwani wote kushirikiana katika kulinda miundombinu ya maji kwa maslahi ya wananchi wa Chalinze.


Mbunge wa Jimbo la Chalinze na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Ajira, Kazi, Vijana, na Wenye Ulemavu), Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete, alishauri DAWASA kufanya ukaguzi wa kina wa miundombinu ya maji na kuboresha maeneo yaliyochakaa ili kuhakikisha huduma bora kwa wananchi.


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze, Mheshimiwa Hassani Mwinyikondo, alihitimisha kikao kwa kuipongeza DAWASA na wachangiaji wote kwa kujadili changamoto na kutoa mapendekezo muhimu. Aliitaka DAWASA kuzifanyia kazi changamoto zilizobainishwa kwa maslahi ya wananchi wa Chalinze na taifa kwa ujumla.


Kikao kazi hicho kimejidhihirisha kuwa hatua muhimu katika kuboresha upatikanaji wa huduma za maji katika Wilaya ya Chalinze.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.