• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

DC Bagamoyo Kutaja Vipaumbele vyake Mbele ya Wakuu wa Idara na Vitengo

Imewekwa: August 29th, 2018


Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo,Mheshimiwa Zainabu Kawawa amekutana na wakuu wa Idara na Vitengo wa Halmashauri za Bagamoyo na Chalinze, katika kikao Kazi kilichofanyika katika ukumbi wa Halmashauri ya Bagamoyo jana.

Katika kikao Kazi hicho Mhe.Kawawa ametoa maelekezo kwa wakuu wa Idara na vitengo ya namna ya kuwatumikia wananchi wa Halmashauri za Bagamoyo na Chalinze kwa kuzingatia sheria taratibu na kanuni ili kufikia malengo yaliyowekwa na serikali katika kuwatumikia wa Tanzania.


Aidha katika kikao Kazi hicho Mkuu wa wilaya ametoa vipaumbele vyake kuwa ni kutatua migogoro ya Ardhi kwa wakulima na wafugaji ma wananchi kwa ujumla ili kuwe na amani na utulivu kwa wananchi,akawaagiza maafisa Tarafa kufanya Kazi ya kufuatilia kero zinazowakabili wananchi vijijini na kuzutafutia ufumbuzi wa haraka kwa maana ya uongozi shirikishi ili kurahisisha utoaji huduma kwa Jamii.Zainabu aliendelea kutoa ufafanuzi kwa kutoa maagizo kwa maafisa Elimu wa Msingi na Sekondari kufanya Kazi kwa bidii ili kuinua kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi na kuzifanya Halmashauri za Bagamoyo na Chalinze kuwa katika nafasi nzuri kimkoa na kitaifa.


Kwa upande wa sekta ya afya aliwataka watumishi kufanya Kazi kwa weledi na moyo mkunjufu katika kuwahudumia wagonjwa na kutumia kauli za kiungwana zisizokuwa na maudhi kwa wagonjwa ,kwani unapokuwa mtumishi wa umma umekubali kulitumikia taifa hivyo hutakiwi kufanya vitendo vinavyoweza kusababisha wananchi kuichukia serikali.


Kipaumbele kingine alichokisema ni kuhakikisha kiwango cha ukusanyaji Mapato ya Halmashauri kinapanda kwa maana ya kukusanya kwa kuzingatia sheria taratibu na kanuni za Fedha sanjari na kuziba mianya yote inayoweza kusababisha upotevu wa Mapato ya Halmashauri. " Kwa yeyote atakayesababisha upotevu wa Mapato nitachukua hatua za haraka na kumwondosha katika Kazi hiyo" Mkuu wa wilaya alisema.


Mheshimiwa Zainabu Kawawa aliendelea kufafanua umuhimu wa kuzitangaza Halmashauri za Bagamoyo na Chalinze kwa kuvisema vivutio vya utalii vinavyopatikana katika Halmashauri zake ili viwe vivutio hapa nchini na hatimaye kuongeza vyanzo vya Mapato. Mwisho aliwaagiza wakurugenzi kubaini idadi ya wananchi walioajiriwa katika viwanda vilivyopo katika Halmashauri zake ili kuona jinsi Sera ya viwanda inavyozalisha ajira kwa wananchi sanjari na upatikanaji wa nishati ya umeme vijijini."Nahitaji kupata orodha ya vijiji vyote vyenye umeme na visivyo na umeme na kupata orodha ya vijijini vilivyo katika awamu ya tatu ya mpango wa umeme vijijini ili nivifanyie Kazi na kufahamu hatua mbalimbali za uunganishaji umeme." Kawawa alisema.


Kwa upande wake Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya Bagamoyo Bi Fatuma Omari Latu kwa niaba ya wafanyakazi wa Halmashauri ya Bagamoyo alikiri kupokea maelekezo yaliyotolewa na Mkuu wa wilaya na kuahidi kuyafanyia Kazi kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni za Utumishi wa umma."Kila mtu anafahamu taratibu na miiko ya Kazi kwa mujibu wa Taaluma yake,hivyo tekelezeni wajibu wenu."Mkurugenzi alisema.


Naye Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze Bi. Amina Mohamedi Kiwanuka alikiri kupokea maelekezo na kuahidi kuyafanyia Kazi kwa kadiri ya maagizo ya Mkuu wa wilaya na kuomba ushirikiano wa hali ya juu kutoka Halmashauri Mama yaani Bagamoyo na kuwataka watumishi kuwa waadilifu katika utekelezaji wa majukumu yao ili kuwatumikia wananchi Kama jinsi tulivyokabidhiwa dhamana hii.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.