• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

DC Kawawa akaribishwa na Wazee Chalinze

Imewekwa: August 7th, 2018

Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Bi Zainabu Rashidi Kawawa amefanya kikao na wazee wa Halmashauri ya Chalinze katika ukumbi wa shule ya sekondari ya Lugoba ni kikao cha kwanza cha utambulisho tangu ateuliwe kuwa Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo.

Katika kikao hicho Mkuu wa wilaya aliwataka wananchi kuzingatia sheria taratibu na kanuni ili kuilinda amani ya Chalinze na Bagamoyo kwa ujumla ili kuondokana na migogoro ya ardhi ambayo inatokana na wakulima na wafugaji katika wilaya hii ya Bagamoyo.

Aidha Mheshimiwa Kawawa aliwataka kamati ya amani inayoongozwa na viongozi wa dini ikafanye kazi ya kuhubiri amani na utulivu makanisani na misikitini kwa malengo ya kujenga amani endelevu katika wilaya yetu.

Naye Mwenyekiti wa Kamati ya Amani katika halmashauri ya Chalinze Alhaji Hamis Nasoro alimkaribisha Mkuu wa wilaya kwa niaba ya wazee wa Chalinze na kuahidi kumpa ushirikiano wa hali ya juu katika shughuli zake za kuongoza Halmashauri ya Chalinze na Bagamoyo kwa ujumla.Hata hivyo Shekh Nasoro alimwambia Mkuu wa wilaya kuwa “Chalinze ni Halmashauri inayokabiliwa na changamoto ya migogoro ya ardhi ya wafugaji na wakulima hivyo Mungu akupe hekima katika kutanzua migogoro hiyo.”Nasoro alisema.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze,Saidi Zikatimu alimkaribisha Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo kwa niaba ya wananchi wa halmashauri ya Chalinze na kumshukuru kwa kuanza kazi yake na mazungumzo na wazee na kuahidi kutoa ushirikiano wa hali na mali katika kuwatumikia wanachalinze na Bagamoyo kwa ujumla.

Mheshimiwa Zikatimu alimpa hali halisi ya migogoro ya ardhi katika halmashauri ya Chalinze kwa kumhakikishia ushirikiano katika utatuzi wa migogoro hiyo ambayo kwa kiasi fulani imefanyiwa kazi na kupatiwa ufumbuzi japo haijaisha,Zikatimu aliendelea kutoa angalizo kuwa “Kutokana na ujio wa Mkuu wa wilaya mpya watendaji na wananchi kwa ujumla tunatakiwa kuwa makini kwani kuna migogoro mingine inaweza kuanza upya wakati ilishatatuliwa na kupatiwa ufumbuzi.”Zikatimu alisema.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.