• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

DC Okash aipongeza Halmashauri ya Chalinze kwa Ukusanyaji Mapato ya ndani

Imewekwa: November 8th, 2023


Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo,Mheshimiwa Halima Okash ametoa pongezi kwa Madiwani na wataalam wa halmashauri ya Chalinze kwa jitihada kubwa wanazozifanya katika suala zima la ukusanyaji mapato ya ndani ya Halmashauri na kuvuka asilimia 27 ya malengo kwa robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2023/2024.


Mheshimiwa Okash ametoa Pongezi hizo leo hii katika Mkutano wa Baraza la Madiwani kwa robo ya kwanza uliofanyika katika Ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete.katika hotuba yake ya kutoa Salaam za Serikali amewataka madiwani na watendaji wa Halmashauri kuendelea na jitihada za ukusanyaji mapato ya ndani na kuahidi kuendelea kutoa ushirikiano wa hali na mali ili kufikia malengo ya ukusanyaji mapato ili kutoa huduma stahiki kwa Wananchi.


Okash Pia ametoa Pongezi kwa Halmashauri ya Chalinze katika suala zima la usimamizi wa mkataba wa lishe ulioiwezesha Halmashauri kushika nafasi nzuri kimkoa na kuwataka uongozi wa halmashauri kuifanya lishe kuwa ajenda ya kudumu kuanzia ngazi ya kitongoji mpaka wilaya.


Mkuu wa wilaya amewataka viongozi wa halmashauri kuzingatia utawala bora kwa kuhakikisha vikao vyote vya kisheria vinafanyika kwa wakati kuanzia Kitongoji,kijiji na Kata ili kuweza kubaini changamoto na kero mbalimbali zinazoweza kutokea katika jamii na kupatiwa ufumbuzi kwa wakati pasipo kuchelewa.


Aidha Okash ametoa rai kwa wananchi wa Halmashauri ya Chalinze kuchukua tahadhali kutokana na mvua za Elinino zinazoendelea kunyesha katika mkoa wa Pwani hususan Chalinze, kwa kuondoka katika mabonde na kukaa maeneo yenye miinuko ili kuepuka maafa yanayoweza kutokea kutokana na mvua hizo.


Mkuu wa wilaya alimalizia hotuba yake kwa kuwataka viongozi wote katika Mamlaka za Serikali za mitaa kuendelea kuisemea Serikali ya awamu ya sita kwa kazi kubwa inayofanya katika kuboresha maisha ya watanzania kwa kujenga miundombinu mbalimbali katika sekta za afya,elimu,barabara na Maji ili watanzania wapate kufahamu yanayoendelea.

“Namshukuru Dkt Samia Suluhu Hassan,Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kazi kubwa anayoifanya ya kuimarisha maisha ya watanzania,hususan wanachalinze kwa kuwaletea fedha zaidi ya Bilioni 2 kwa robo ya kwanza ya mwaka 2023/2024 Mungu azidi kumtunza.” Okash alisema.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.