• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

DC Okash awafunda watendaji wa Serikali Chalinze na kuwapa maelekezo

Imewekwa: March 28th, 2023









Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe.Halima Okash amefanya kikao kazi na Maafisa Tarafa,Watendaji Kata na Vijiji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kwa lengo la kuwapa mikakati na Kusikiliza changamoto wanazokutana nazo katika kutimiza majukumu yao ya kuwahudumia wananchi.

Katika kikao kazi hicho Mhe.Okash na amewataka Maafisa hao kufanya kazi kwa bidii ili kumsaidia Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kufikia malengo ya kuiletea maendeleo Chalinze na Taifa kwa ujumla.

“Nendeni mkafanye kazi kwa bidii ili tuweze kumsaidia Mhe. Rais Samia Ruluhu Hassan ili kufikia malengo katika kuiletea maendeleo Halmashauri yetu naTanzania kwa ujumla”.Amesema Mhe. Okash.

Aidha Mhe.Okash ametoa maagizo mbalimbali ambayo watendaji wanatakiwa kuyatekeleza maramoja katika maeneo yao ya kiutendaji ikwemo kuandaa taarifa za kila wiki,kufanya mikutano ya hadhara na Wananchi,kutatua migogoro ya wakulima na wafugaji,kusimamia Miradi,kusimamai masuala upingaji wa ya ukatili wa kijinsia pamoja na kusimama uchangiaji wa Chakula na utoro Mashuleni pamoja na kuwa mstari wa mbele katika kusimamia mapato ya Halmashauri yasopote..

Hata hivyo Mkuu wa Wilaya huyo amesema kuwa ili kuendana na teknolojia ya utumaji wa taarifa Maafisa Tarafa na Watendaji Kata kwa awamu ya Kwanza watanunuliwa vishikwambi na Baadae Watendaji wa Vijiji pamoja na baadhi ya vitendea kazi  vya ofisi ili kuweza kuongeza ufanisi katika kazi.

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Ndg.Ramadhani Possi amewashukuru na amewaomba Maafisa na Watendaji hao kufanya kazi kwa ushirikiano

“Niwashukuru sana hasa katika kufanya kazi na kutimiza wajibu wenu na niwaombe kuendelea kuonesha ushirikiano baina yenu na Ofisi yangu ili kufikia malengo ambayo tumejiwekea kama Halmashauri ili kuiletea yetu maendeleo”.Amesema Ndg. Possi

Kwa niaba ya Maafisa na Watendaji hao Afisa Tarafa ya Chalinze Ndg.Mollel amemshukuru Mhe.Okash kwa hatua alizozichukua za kufanya kikao kazi na Maafisa na Watendaji hao pamoja na ahadi ya ununuzi wa Vitendea kazi kwani imewapa Moyo wa kuendelea kufanya kazi kwa bidii.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.