• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

DC Okash,Kamati ya Usalama wafanya ziara viwandani Chalinze

Imewekwa: March 29th, 2023


Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe.Halima Okash pamoja na Kamati ya Ulinzi na Usalama amefanya ziara katika maeneo ya uwekezaji na Viwanda vilivyopo Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani Pwani kwa lengo la kuona Mafanikio,uendeshaji na Changamoto mbalimbali wanazokutana nazo ili kuweza kuzitatua ili kuweka mazingira salama kwa wawekezaji.

Akizungumza katika Ziara hiyo Mhe.Okash amewapongeza wawekezaji hao kwa Uwekezaji Mkubwa wanoufanya katika Halmashauri ya Chalinze kwani ni manufaa kwa Halmashauri,Wilaya,Mkoa na hata Taifa kwa ujumla pamoja na jamii inayowazunguka pamoja na kuwaahidi kuzifanyia kazi changamoto wanazokumbana nazo ili kuendelea kuwawekea Mazingira rafiki katika Uwekezaji .

“Niwapongeze wawekezaji hasa kwa uwekezaji Mkubwa mnaoufanya kwani haya ni maendeleo makubwa kwa Taifa kwani Tanzania sasa tunaouwezo mkubwa wa kutumia bidhaa za ndani na kuzisafirisha mpaka nje ya nchi na niwaahidi sisi kama Serikali tutazifanyia kazi Changamoto zote ili muwe na Mazingira rafiki katika uzalishaji”.Amesema Mhe. Okash.

“Vilevile niwapongeze sana kwa Wawekezaji kwa jinsi mnavyojitoa kwa jamii kwa kurudisha shukrani kama vile katika ujenzi wa  vyumba vya Madarasa,Zahanati lakini pia utoaji wa ajira kwa vijana waishio katika Halmashauri hii ili kuwaongezea kipato na uwezo katika wa kazi.”Aliongeza.

Hata hivyo Mhe.Okash amewaomba wawekezaji hasa wa Kiwanda cha SAYONA kutoa taarifa  kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze ni aina gani ya matunda au malighafi zinazohitajika kwa wingi katika uzalishaji ili Ofisi hiyo iweke kipaumbele katika kutoa Mikopo ya asilimia 10 kwa Vijana ili waweze kuanza Shughuli za Kilimo za Matunda hayo ndani ya Halmashauri ya Chalinze.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Ndg.Ramadhani Possi ameendelea kuwataka Wawekezaji hao kuendelea kulipa kodi kwa wakati ili kuweza kuongeza mapato ndani ya Halmashauri na Serikalini pamoja na kuwapongeza kwa kujitoa kwao katika kuunga mkono juhudi za Serikali katika Shughuli za maendeleo.

Ikumbukwe kuwa katika ziara hiyo Mhwshimiwa Mkuu wa Wilaya na Kamati ya Ulinzi na Usalama imeweza kutembelea Viwanda mbalimbali vilivyopo ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Ikiwemo Kiwanda cha kutengeneza juisi cha SAYONA,Kiwanda cha kutengeneza malumalu au vigae vya chini KEDA CERAMICS COMPANY LIMITED pamoja na Kiwanda cha utengenezaji wa Viroba cha H&J FACTORY.

 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.