• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Elimu ya Ulinzi na Usalama wa Mtoto yatolewa Chalinze

Imewekwa: March 5th, 2019




Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kupitia Idara ya afya na usitawi wa jamii imetoa mafunzo ya ulinzi na Usalama wa mtoto katika shule za msingi za Chalinze na Pingo zilizopo katika Kata ya Pera, Kwa mujibu wa Afisa Ustawi wa halmashauri ya Chalinze Bi Mercy Mwambasi mafunzo hayo yamefanyika jana na yanaendeshwa kwa mujibu wa sheria ya Mtoto namba 21 ya mwaka 2009 inayotaka mtoto alindwe na apatiwe haki zake za msingi kwa mujibu wa sheria.

      Mwambasi alieleza kuwa katika mafunzo hayo yanayolenga kuwajengea uwezo watoto wa shule za msingi na Sekondari yanawawezesha kutambua mtoto ni Nani kwa mujibu wa sheria za Tanzania ambazo zinaeleza wazi kuwa mtoto ni mtu yeyote mwenye umri chini ya miaka 18.

      Afisa ustawi aliendelea kufafanua kuwa katika mafunzo hayo watoto wameweza kuelewa dhana ya ulinzi na Usalama wa mtoto kuwa ni kitendo cha kumlinda mtoto dhidi ya vitendo vyote vya kikatili vinavyoathiri makuzi na maendeleo ya mtoto.

      Aidha katika mafunzo hayo maafisa ustawi wameweza kueleza aina za ukatili wanazoweza kufanyiwa watoto katika jamii kama ukatili wa kijinsia,kimwili,kisaikolojia,na kingono.

     Kwa upande wake Afisa ustawi wa Jamii Bi Shukuru Mgao aliwafundisha watoto haki zao kwa mujibu wa sheria ya Mtoto ya mwaka 2009 ikisomwa pamoja na katiba ya Jamhuri ya muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 kuwa mtoto ana haki ya kuishi,kulindwa,kucheza,kupata elimu,matibabu,mavazi,chakula na kupumzika. Pamoja na haki hizo kwa mtoto,mtoto pia anawajibu kwa jamii au Familia kama kusoma na kuwatii wazazi au walezi wao kwa majukumu ya msingi wanayopewa na wakubwa.

      Naye Mratibu wa wahudumu wa afya ya jamii,Dkt Bwire John katika mafunzo hayo alitoa maada akiwaelekeza namna ya kujihami kama watafanyiwa ukatili wa aina yeyote au wakiona mwenzao anafanyiwa ukatili watoe taarifa kwa wazazi,walimu,watendaji wa vijiji au kata,kituo cha polisi au ofisi za ustawi wa jamii au wapige simu namba 116 ambayo ni namba ya bure watapata msaada mara moja.

      Mafunzo haya ni endelevu na yanaendelea kutolewa katika shule zote za msingi katika halmashauri ya Chalinze.







Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.