• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Fanyeni Kazi kwa Bidii Kukamilisha Miradi ya Uviko- 19 kwa wakati: Mh. Mwinyikondo

Imewekwa: December 25th, 2021

Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze Mh:Hassani Mwinyikondo ameacha kusherekea sikukuu ya  Chrismas na kufanya ziara ya ukaguzi wa Madarasa ya  uviko 19 akiambatana na jopo la Wataalam wa Halmashauri hiyo ili kukimbizana na muda uliobaki wa ukamilishaji wa majengo hayo.

Katika ziara hiyo Mh: Mwinyikondo amefanikiwa kutembelea jumla ya miradi mitano ya maendeleo iliyopo katika kata tofauti, ambazo ni pamoja na Shule ya Sekondari Kibindu, Shule Shikizi ya Komtonga, Shule ya Sekondari Kimange, Shule ya Sekondari Rupungwi na Shule ya Sekondari Changalikwa ambapo miradi hiyo yote ilipelekewa jumla Tsh. Milioni 320/= kati ya     Tsh Bilioni 1.6 zilizopelekwa Halimashauri hiyo kutekeleza jumla ya ujenzi wa Vyumba vya Madarasa 80

Akizungumza katika Ziara hiyo Mh Mwinyikondo alimshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa awamu ya Sita Mh: Samia Suluhu Hassan kwa kuisaidia Halmashauri ya Chalinze kutatua tatizo la upungufu wa Madarasa, amewataka wasimamizi na mafundi wa Miradi hiyo kufanya kazi kwa bidii ili kuikamilisha kwa wakati na kufanikisha lengo kusudiwa ambalo ni kuchukuwa wanafunzi wa kidato cha kwanza mapema Januari 2022.

Ni wito wangu kwa wasimamizi wa miradi hii kwa maana ya ofisi ya Mkurugenzi, Mhandisi wa Wilaya, Maafisa Elimu(Msingi na Sekondari) na walimu wakuu, kamati za usimamizi na mafundi kufanya kazi usiku na mchana ili kuhakikisha lengo la kukamilisha miradi hii mnamo tarehe 28.12.2022 linafikiwa’. Alisema Mh  Mwinyikondo

Akihitimisha katika majumuisho ya ziara hiyo Mh. Mwinyikondo aliwapongeza wataalam na wajumbe wote walioonyesha uzalendo na kuungana nae katika ziara hiyo japo ilikuwa ni sikukuu na kuwataka waendelee hivyo. Aidha alimuagiza Afisa Mipango kuona namna ambavyo anaweza kupeleka fedha katika miradi kwa wakati hasa katika ujenzi wa vyoo kwenye shule zilizo bahatika kupata fedha za madarasa ya UVIKO 19 ili kusaidia ukamilikaji wake kwa wakati.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.