• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Halmashauri tatu za mkoa wa Pwani zashiriki kikao cha mradi wa Kwala

Imewekwa: March 6th, 2023



Halmashauri tatu Mkoa wa Pwani zashiriki Kikao maalumu cha kupanga,kuanzisha na kuendeleza jiji la kibiashara na uwekezaji Kwala Mkoani Pwani.

Kikao hicho kimehudhuriwa na Mgeni rasmi  Katibu Tawala Mkoa wa Mkoa wa Pwani Bi Zuwena Omary, Madiwani,Wakurugenzi wa Halmashauri za Chalinze,Kibaha na Kisarawe pamoja na wataalamu kutoka Ofisi za Ardhi.


Akihutubia katika kikao hicho mgeni rasmi Katibu Tawala wa Mkoa wa Pwani Bi Zuwena Omary amesema amewaomba madiwani kuwa mstari wa mbele kuwahimiza wananchi kuwa sehemu ya uendelezaji wa jiji la Kwala.


"Niwaombe waheshimiwa Madiwani mkawe mstari wa mbele kuwahimiza Wananchi wenu wawe sehemu ya uendelezaji wa jiji la kwala ili wanufaike na sio kuwa watu wakuuza adhi zao kwa wageni ambao watamiminika katika eneo hili kubwa la kibiashara na uwekeza kwani ndio dhamira ya Rais wetu Mhe.Samia Suluhu Hassan."Amesema Bi. Zuwena.


Nae Mwenyekiti wa Kikao hicho Mhe.Hassan Rajabu Mwinyikondo ambaye pia ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kwaniaba ya madiwani wote amesema kuwa wameridhishwa na kuunga mkono jitihada za Serikali za kuanzisha jiji hilo Mkoani Pwani.


"Kwaniaba ya madiwani wenzangu niseme tu tumeridhia na tunaunga mkono jitihada za Serikali na za Rais wetu mpendwa Mhe. Samia Suluhu Hassan za kuanzisha jiji hili hapa mkoani Pwani." Amesema Mhe.Mwinyikondo.


Aidha Mwenyekiti wa Kamati ya Kupanga ,kuanzisha na kuendeleza jiji la kibiashara Kwala ndg.Lucus Malunde kutoka Ofis ya Rais TAMISEMI amesema kuwa jiji hilo la kwala litakuwa jiji kubwa Tanzania ikiwa ni jiji mbadala wa jiji la Dar es Salaam ambalo limejaa hivyo basi jiji hilo litakuwa na fursa nyingi kwani mpaka sasa huduma nyingi muhimu zimeanza kupelekwa kama vile maji,umeme,minara ya mawasiliano pamoja na majengo makubwa ya kibiashara na makazi.


Ikumbukwe kuwa jiji hilo linalotarajiwa kuanzishwa lina ukubwa wa ekari 103,083 na limejumuisha baadhi ya vijiji kutoka Halmashauri tatu yaani Halmashauri ya Chalinze vijiji 9,Halmashauri ya Kibaha vijiji 16 na Kisarawe vijiji 5.

Matangazo

  • ELIMU KWA UMMA October 05, 2022
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Halmashauri ya Chalinze inatekeleza agizo la serikali kwa kuendelea kutoa Chakula shuleni

    March 10, 2023
  • Halmashauri tatu za mkoa wa Pwani zashiriki kikao cha mradi wa Kwala

    March 06, 2023
  • TEMESA yatakiwa kutekeleza majukumu yake kwa kuwashirikisha wananchi

    March 03, 2023
  • TEMESA yatakiwa kutekeleza majukumu yake kwa kuwashirikisha wananchi

    March 03, 2023
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • Mfumo wa Bajeti
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.