• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Halmashauri ya Chalinze yafanya Mkutano wa Baraza la kufunga mwaka 2021/2022

Imewekwa: August 25th, 2022


Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze  imefanya Mkutano wa Baraza la MadiwanI la Mwaka kwa mwaka wa fedha 2021/2021 katika ukumbi wa Mikutano wa Kikwete ambapo mkutano huo umelenga kupokea taarifa za utekelezaji wa Shughuli mbalimbali za Halmashauri zilizofanyika katika kipindi cha Julai 2021-juni 2022 sanjari na hilo ni pamoja na kufanya uchaguzi wa Makamu Mwenyekiti wa Halmashauri pamoja na Uchaguzi wa Wenyeviti na Wajumbe wa kamati za kudumu za Halmashauri.

Mara baada ya Kikao hicho Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe. Ridhiwani Kikwete alipata wasaa wa kuzungumza na Waheshimiwa Madiwani pamoja na Watendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kwa lengo la kuwakumbusha wajibu wao wa kuwahudumia wananchi wanaowawakilisha ambapo amesema

“Lengo kubwa la kukutana na kuzungumza na Waheshimiss Madiwani wenzangu ni kukumbushana juu ya wajibu wetu ni kuhakikisha tunayafikia matamanio ya wananchi wetu kwasababu kwenye upangaji wa maendeleo ya Halmashauri Baraza la madiwani ni sehemu kubwa ya kuhakikisha tunayafikia malengo hayo”. Naibu Waziri alisema.

Vilevile Mheshimiwa Ridhiwani amewaomba Waheshimiwa Madiwani kuorodhesha miradi ambayo haijakamilika na ile ambayo haikufikiwa kanisa pamoja na kuorodhesha vipaumbele vyote vya wananchi katika maeneo hayo ili kuanza kuvifanyia kazi kwa haraka.

Naye Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mhe. Hassan Mwinyikondo amewataka Waheshimiwa madiwani kuendeleza ushirikiano ili kuweza kuijenga chalinze hasa kwenye eneo la ukusanyaji wa mapato

Hata hivyo katika kikao hicho Mhe.Mwinyikondo ameelezea namna wanavyotekeleza mikakati ya kampeni ya kuhakikisha kila mwanachalinze anahesabiwa katika zoezi zima la Kitaifa la Sensa ya watu na makazi.

“ Kwakutambua umuhimu wa Sensa ya Watu na Makazi kwa Taifa letu na ili kumuunga Mkono Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze inahakikisha haachwi mtu kwenye kuhesabiwa na ndio maana hatulali usiku na mchana ili kupita nyumba kwa nyumba ili kuhakiki na kujiridhisha kuwa kila mtu amehesabiwa”. Mhe. Mwinyikondo alifafanua

Mhe. Mwinyikondo aliendelea kwa kusema kuwa Halmashauri ya Chalinze imefanya vikao mbalimbali na Wenyeviti wa Vitongoji wote na pia kutengeneza kamati ndogo ya Sensa kwa halmashauri ukiacha ile ya Wilaya inayoongozwa na Mkuu wa Wilaya ili kuhakikisha zoezi la Sensa linafanikiwa.

Mkutano wa Kikao hicho cha Mwaka hukaliwa kila mwisho wa mwaka wa fedha ili kupata taarifa za  utekelezaji wa miradi mbalimbali ya kila mwaka wa fedha ndani ya Halmashauri.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Waziri Kikwete Apokea Hundi ya Tsh Milioni 52 kutoka kiwanda cha Keda

    June 21, 2025
  • Chalinze yapongezwa kwa Hati Safi Mfululizo miaka mitano

    June 18, 2025
  • Mwenyekiti wa UWT akagua miradi ya maendeleo Chalinze

    June 13, 2025
  • Madiwani wa Pangani waipongeza Chalinze kwa Miradi ya mapato ya ndani

    June 11, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.