• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Halmashauri ya Chalinze yakabidhiwa Vifaa tiba (X-Ray,Jokofu la kuhifadhia maiti).

Imewekwa: September 29th, 2021

Halmashauri ya Wilaya aya Chalinze imekabidhiwa vifaa tiba ikiwemo mashine ya “X-Ray” pamoja na Jokofu la kuhifadhia maiti lenye uwezo wa kuchukua miili sita kutoka Wizar ya Afya. .

Akizungumza kwa niaba ya wananchi wa Jimbo la Chalinze , mbunge wa jimbo hilo Mhe. Ridhiwani Kikwete

“Leo tumepokea vifaa tiba ikiwemo mashine ya kupiga picha za mionzi na jokofu la kuhifadhia maiti ikiwa ni matokeo ya ziara ya Naibu Waziri wa Afya  Mhe. Godwin Mollel ambayo aliifanya wiki mbili zilizopita na leo hii tumeshuhudia Serikali ya Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan ikitekeleza ahadi yake kwa vitendo, tunamsukuru sana Rais wetu kwa kuendelea kujali maisha ya Watanzania na kuona afya ya msingi inapatikana katika maeneo yaliokaribu na kupunguza adha kwa wakazi wa Chalinze kutafuta huduma hizo mbali na Chalinze”. Alisema Mhe. Ridhiwani Kikwete (Mb)

Nae Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Ndg. Ramadhan Possi aliongezea kwa kuishukuru serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja na kueleza nia kwa namna gani watapata wataalamu wa kuendesha vifaa hivyo.

“Kwanza tunaishukuru Serikali yetu ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kutupatia vifaa hivi na pia Lengo la vifaa hivi ni kuwahudumia wananchi wa Chalinze kwasababu ilikuwa ni adha kwa wananchi wa Chalinze kupata huduma ya “X-Ray” na kwa upande wa wataalamu tumejipanga kupata wataalamu kutoka wizara ya Afya lakini pia tumetenga kiasi cha shilingi Milioni 40 kwaajili ya kutoa mafunzo kwa wataalamu wa ndani ya Halmashauri ikiwa ni pamoja na uadilifu wa kujua thamani ya vifaa ”. Alisema Ndg. Ramadhan Possi.

Aidha Diwani wa kata ya Msoga Mhe. Hassan Mwinyikondo ameishukuru serikali kwa jitihada zake za kuwakomboa wananchi wa Chalinze.

“ Kwaniaba ya Wananchi wa kata ya Msoga tunaishukuru sana Serikali kwani itatukomboa sana kwani mwanzoni tulikuwa tunatumia Hospitali ya Tumbi-Kibaha kupata huduma ya “X-Ray”lakini leo tumepokea mashine hii ambayo itatusaidia kupunguza kutumia gharama nyingi kwenda kupata huduma hiyo nje ya Chalinze”. Alisema  Mhe. Mwinyikondo.

Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze imepokea vifaa hivyo ikiwa ni ahadi ya Naibu Waziri wa Afya  Mhe. Godwin Mollel ambayo aliahidi vifaaa hivyo alipofanya ziara ya Kikazi katika Hospitali ya Wilaya Msoga-Chalinze wiki mbili zilizopita  

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.