• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Halmashauri ya Chalinze yakamilisha Ujenzi wa Madarasa 80 na Kukabidhi kwa DC Bagamoyo

Imewekwa: January 6th, 2022


Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze imekabidhi taarifa yamiradi ya ujenzi wa madarasa ya shule za msingi na sekondarikwa fedha za ustawi wa jamiii na mapambano dhidi ya UVIKO-19 kwa Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Bi ZainabuAbdallah.

Taarifa hiyo ya ukamilishaji wa Madarasa imepokelewa naMkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe. Zainabu Abdallah nakuipongeza Halmashauri ya Chalinze kwa kukamilisha ujenziwa miradi hiyo kwa wakati na namna taarifa ilivyoandaliwa kwaufafanuzi.   

“Kwanza tumshukuru Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano waTanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia fedha hizimpaka kukamilisha miradi hii kwani hakuna sadaka kubwakama sadaka ya kuwekeza kwenye elimu kwani elimu ndio njiaitakayomkomboa Mtanzania na tunaamini kupitia madarasahaya atapatikana Rais mwingine kwa vile yatatumika na vizazivijavyo na pia naipongeza Halmashauri ya Chalinze kupitiaMwenyekiti,Mkurugenzi na Madiwani na Watendaji wote kwakuisimamia vyema miradi hii kwani tangu kufikia Tar 28/12/2021 miradi yote ilikuwa imekamilika na nimefurahishwazaidi mafundi wengi waliofanya kazi hizi ni vijana wazawa wamaeneo yetu hivyo basi ni lazima tuwatazame kwa jicho la pilina Vilevile nikupongeze Mbunge wetu wa Chalinze MheRidhiwani na nakushukuru sana kwa kusimamia na kuendelezamiradi hii na kuwasemea wana Chalinze kwani tunaona ninamna gani unavyowapambania watu wako wa Chalinze.” Aliseama Mhe. Zainabu.

Aidha Mhe. Zainabu Abdallah ameongeza kwa kusema

“Nipende kuipongeza Halmashauri ya Chalinze kwa kutoataarifa yenye mchanganuo wa matumizi wa kila mradiinayoonesha fedha zilizotumika na  viwanda vilivyochukuliwavifaa  na ninaweza kusema hii ni taarifa ya kipeke.” AliongezaMhe.Zainabu.

Hata hivyo mkuu wa wilaya amewaasa walimu, wazazi nawanafunzi kwa kila mmoja wao na kwa nafasi yake kutimizawajibu wake ili kuandika historia mpya kwa Tanzania.                                      

“Binafsi Nimshukuru Rais wetu Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kuwa amesababisha yale yote ambayo yalikuwahayaonekani lakini leo yanaonekana kwasababu katika awamuyake ndani ya miezi mitatu Halmashauri yetu imesimamiamiradi ya madarasa 80 kwa maelekezo ya yake, hivyo nisemeRais wetu hastahili tu kupewa sifa bali anastahili pia kuombewakwa Mungu kwa jambo kubwa alilotufanyia wana Chalinze”. Alisema Mhe.Ridhiwani.

Nae Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze Mhe.HassanMwinyikondo amemuahidi Mkuu wa Wilaya kuwa Halmashauriya Chalinze imekamilika katika usimamizi wa miradi na ipotayari kusimamia miradi mingine itakayopewa.

“ Kwaniaba ya baraza la madiwani na Halmashauri ya Chalinzekwa ujumla nakuhakikishia kuwa miradi hii imesimamiwa kwaweredi kwani wataalamu wote walikuwa wanafanya kazi usikuna mchana ili kufanikisha ujenzi wa madarasa haya na hili nikwa maana tukuwakilishe vyema wewe Mkuu Wilaya na Raisiwetu na pia nakuhakishia kuwa Halmashauri ya Chalinzeinaweza na ipo tayari kusimamia miradi minginetutakayopewa”. Alisema Mhe. Mwinyikondo.

Katika taarifa hiyo Halmashauri ya Chalinze ni miongoni mwaHalmashauri zilizopata fedha za Mpango wa kuboresha Ustawiwa Taifa na Mapambano dhidi ya UVIKO-19 ambapo imepokeakiasi cha zaidi ya shilingi Bilioni 6.8 mnamo tarehe 21/10/2021 kwaajili ya miradi ya madarasa 80 na miradi hiyo imekamilikamnamo tar 28/12/2021.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.