• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Halmashauri ya wilaya ya Chalinze Kinara Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2022

Imewekwa: October 14th, 2022


Halmashauri ya wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani imeshika nafasi ya kwanza kitaifa katika Mbio za Mwenge wa Uhuru Kitaifa 2022.


Halmashauri hiyo imeshika nafasi ya kwanza kitaifa kwa kukidhi vigezo vyote vya mbio za Mwenge wa Uhuru kwa mwaka 2022 na kuziongoza Halmashauri zote nchini zipatazo 195 bara na visiwani kwa maana ya Majiji,Manispaa,Miji na Halmashauri za Wilaya nchini.


Akitangaza Matokeo hayo katika hafla ya kilele ya mbio za Mwenge wa Uhuru kitaifa katika uwanja wa Kaitaba,Manispaa ya Bukoba Mkoani Kagera,Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri  Mkuu Sera,Bunge,Kazi,Ajira,Vijana na Watu wenye Ulemavu,Profesa Joyce Ndalichako alisema Halmashauri iliyoongoza katika Mbio za Mwenge wa Uhuru kwa maana ya Mshindi wa jumla ni Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani.

“ Halmashauri iliyoongoza kwa matokeo ya Jumla ngazi ya Taifa ni Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani,hongera Chalinze kwa kukidhi vigezo vya ushindani kwa mwaka 2022.” Ndalichako alisema.


Katika hotuba yake Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan aliipongeza Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kwa kuwa Mshindi wa kitaifa sanjari na kuzipongeza Halmashauri zingine zilizopata ushindi ngazi ya kanda.

“ Hongera Halmashauri zote zilizofanya vizuri katika Mbio za Mwenge wa Uhuru mwaka 2022 mmeweza kuzingatia vigezo stahiki vyote nawapongeza sana.” Rais Samia alipongeza.


Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze ni Halmashauri iliyo katika wilaya Bagamoyo,Mkoani Pwani. Ni Halmashauri iliyoanzishwa Julai 2016 na kuwa miongoni mwa Halmashauri ya tisa Mkoani Pwani,Halmashauri hii imekuwa na Historia ya kufanya vizuri katika utekelezaji wa miradi ya Maendeleo sanjari na kukidhi vigezo vya mbio za Mwenge,mwaka 2017 Halmashauri hii Ilikuwa Mshindi wa kwanza kitaifa pia katika Mbio za Mwenge wa Uhuru,Mwaka 2018 Halmashauri ya Chalinze ilikuwa Mshindi wa kwanza kanda ya tano.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.