• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Halmashauri ya wilaya ya Chalinze yashirikiana na Taasisi mbalimbali kufanya usafi wa Mazingira

Imewekwa: February 25th, 2023


Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kwa kushirikiana na taasisi mbalimbali zilizopo katika Halmashauri hiyo kufanya kapmpeni ya usafi ikiwa ni kutekeleza kauli ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan ya kufanya usafi kila ifikapo jumamosi ya mwisho wa mwezi kwa lengo la kuweka mazingira safi na salama ili kuepukana na magonjwa ya mlipuko.

Kwa ushirikiano huo Mkuu wa kitengo cha Usafi na Mazingira Nd.Jackson Mwakapugi amesema kuwa wamezialika taasisi mbalimbali katika kampeni hiyo ili kujenga ushirikiano katika utunzaji wa mazingira ndani ya Halmashauri hiyo.

"Tumezialika taasisi na vyombo vya ulinzi ili tuweze kushirikiana katika kufanya usafi na kutunza mazingira kwa pamoja ili kuweza kuiweka Halmashauri yetu kuwa na mazingira mazuri."Amesema Mwakapugi.

Aidha Ndg.Mwakapugi amezishukuru taasisi hizo za DAWASA na Jeshi la Polisi pamoja na wananchi kwa kushiriki katika kampeni hiyo kwani wameonesha ushirikiano wa hali ya juu katika kutunza mazingira kuwa safi.

Aidhaa Mkuu wa Kituo cha Polisi Chalinze Reutenant Onesmo Kipanga ametoa wito kwa wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kuwa na mazoea ya kujumuika katika shughuli za kijamii kama hizi za usafi.

"Sisi kama Jeshi la Polisi tumeshiriki katika kampeni hii ya usafi pamoja na taasisi mbalimbali kwani kwa kufanya hivi tutauweka mji wetu katika mazingira mazuri"amesema Re.Kipanga.

Vilivile nipende kutoa wito kwa wananchi wote wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kushiriki katika kujumuika kufanya usafi kwani usafi ni afya na tukiwa na tabia ya kufanya usafi tutaepukana na magonjwa mbalimbali ya mlipuko na pia ni tabia ya binadamu kuwa msafi yeye na mazingira" aliongeza Re.Kipanga.

Nae Afisa Rasilimali watu wa DAWASA chalinze Ndg.Katavo Peter amewataka wananchi wote kuwa na tabia ya kuitikia wito wa Serikali hasa wa ufanyaji usafi kwani ili mazingira yawe safi basi kila mmojawapo ashiriki kikamilifu.

kampeni hii ya usafi wa mazingira hufanyika kila jumamosi ya mwisho wa mwezi na kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze zoezi hilo hufanyika katika maeneo mbalimbali ya kata zote 15 za Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.

 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.