• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Halmashauri za Chalinze na Bagamoyo zanufaika na mgao wa Ardhi

Imewekwa: May 26th, 2023


Serikali ya Jamhuri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wizara ya Mifugo na Uvuvi imetoa Sehemu ya Ardhi kwa Wananchi wa Wilaya za Bagamoyo na Kibaha kutoka katika sehemu ya hifadhi ya Ranchi ya Ruvu kwa matumizi ya kilimo na mifugo.

Akizungumza hii leo katika hafla fupi ya makabidhiano ya ardhi hiyo Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. David Silinde (MB) amesema kuwa Serikali imeridhia kumega sehemu ya ardhi  ya Ranchi ya Ruvu zaidi ya ekari 5520 na kuzikabidhi kwa Wilaya za Bagamoyo na Kibaha.

“Serikali sikivu  ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayoongozwa na Rais wetu mpendwa Mhe. Samia Suluhu Hassan imeridhia kutoa sehemu ya Ardhi ya takribani ekari 5520 iliyokuwa inamilikiwa na Ranchi ya Taifa ya Ruvu na kuigawa kwa wananchi wa Halmashauri zilizopo Wilaya za Bagamoyo na Kibaha kufuatia mapendekezo ya tume shirikishi ya kutatua migogoro ya ardhi kwa kushirikiana na viongozi wa Mkoa,Wilaya na Vijiji husika kwa ajili ya matumizi ya maeneo hayo kwenye shughuli za makazi,kilimo,ufugaji na shughuli za kijamii”.Amesema Mhe. Silinde.

Mkuu wa Mkoa wa Pwani amemshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuridhia kutoa Ardhi hiyo kwa wananchi kwani huo ni upendo mkubwa kwa Wananchi wake.

“Niishukuru Serikali ya awamu ya Sita  chini ya Rais wetu Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa kufanya maamuzi amabayo yanaonesha upendo kwa wananchi pamoja na kujali Maisha ya Wananchi wake hasa hili la kukubali na kuwaagiza Wizara kukabidhi Ardhi ya Serikaali kwa Wananchi kwani tunafahamu kabisa Kisheria umiliki wa Ardhi hiyo ni ya Ruvu Ranchi”.Amesema Mhe.Kunenge.

Aidha Mhe. Kunenge amemuahidi Mhe.Silinde kuwa kama Mkoa wana wajibu wa kusimamia Matumizi ya Ardhi hiyo pamoja na kutovumilia Wananchi ambao wataweza kuvamia tena maeneo ya Ranchi ya Ruvu.

Naye Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Mhe.Halima Okash ameishukuru Serikali kwa maamuzi hayo kwani Wilaya ya Bagamoyo imeweza kunufaika na mgao wa Ardhi hiyo kwani Halmashauri za Wilaya hiyo yaani Chalinze na Bagamoyo zimepatiwa zaidi ya Ekari 4020 katika vijiji 9.

Mhe. Okash ameendelea kwa kuwaasa Wafugaji na Wakulima wa Bagamoyo na Chalinze kutumia Ardhi hiyo vizuri hasa katika shughuli za ufugaji na Kilimo cha kisasa pamoja na shughuli za kijamii.

 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.