• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Hospitali ya Wilaya Chalinze yakabidhiwa gari la kubebea wagonjwa

Imewekwa: July 28th, 2022

Naibu Waziri wa Ardhi ,nyumba na maendeleo ya makazi ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze Mhe.Ridhiwani Kikwete hii leo tarehe 27 amekabidhi gari moja la kubebea Wagonjwa (Ambulance) katika Hospitali ya Wilaya ya Chalinze kwa lengo la kutoa huduma za dharura.

Akizungumza na waandishi wa Habari mara baada ya kukabidhi gari hilo Mhe. Ridhiwani ameishukuru Serikali ya Jamhuri ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kuipatia Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze huduma za majengo na huduma za dharura kwa upande wa afya.

“Naishukuru sana Serikali yetu ya Tanzania inayoongozwa na Mhe. Samia Suluhu Hassan kwa kutupatia huduma hizi za majengo,magari na huduma za dharura ambapo kwa mwaka wa fedha huu Serikali imepanga kuleta magari matatu ambapo gari la kwanza ndio hili limeshatangulia lakini magari mawili yanakuja ambapo gari moja litakuja katika hospitali ya Wilaya na moja litakwenda Kituo cha Afya Msata na pia hii ni alama kuwa serikali inahakikisha huduma inawafikia wanachi.” Amesema Mhe. Ridhiwani

Aidha Mhe. Ridhiwani Kikwete ameupongeza uongozi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kwa ushirikiano na umoja wao unaopelekea kufanya mambo makubwa ikiwemo kupata magari ,majengo na huduma za afya ili kuweza kuwahudumia wananchi wa Chalinze.

Pamoja na hayo Mheshimiwa Naibu Waziri amewataka wahudumu wa magari ya wagonjwa kuendelea kuyatunza magari hayo ili yaweze kudumu ili kuendelea kutoa huduma kwa wananchi.

Nae Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mhe. Hassan Mwinyikondo amesema kuwa maendeleo ya Chalinze ni pamoja na utayari wao pamoja na ushirikiano na umoja wanauonesha baina yao katika kulenga kuwahudumia  wananchi na wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.

“Kwanza nimpongeze Rais wetu Mhe Samia Suluhu Hassan kwa huduma hizi anazotupatia na hii yote ni kwasababu ya sisi wenyewe kuwa tayari kuhudumiwa lakini pia maendeleo ya Chalinze mpaka kufikia hii leo ni Ushirikiano baina ya Ofisi ya Mkuu wa Wilaya,Mbunge,Mkurugenzi pamoja na Madiwani kwa kulenga kuwahudumia wana Chalinze”.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.