• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

IMARISHA ULINZI, JENGA UWEZO NA FUSRA SAWA KWA WATOTO WOTE

Imewekwa: May 16th, 2017

IMARISHA ULINZI, JENGA UWEZO NA FUSRA SAWA KWA WATOTO WOTE

Maadhimisho  ya siku ya mtoto wa Afrika hufanyika kila tarehe 16 June kukumbuka mauaji ya kinyama yaliyofanywa na makaburu  kitongoji cha Soweto Afrika kusini kwa kuua watoto zaidi ya 2,000 tarehe 16/06/1976 kwa sababu za kudai haki.

Aidha kumbu kumbu hii pia ni utekelezaji wa  Azimio la Mkutano wa Umoja wa Mataifa uliofanyika mjini  New York Marekani  mwaka 1990 kuhusu Uhai, Ulinzi na Maendeleo ya mama  na mtoto.


Lengo mahususi la maadhimisho haya ni kuona nini kifanyike katika kutoa haki za msingi za Mtoto.  Ni ukweli usiopinga kuwa Kauli mbiu hii ina lengo la kukuza uwajibikaji katika kulinda na kuthamini utu wa mtoto katika nyanja zote za kijamii, kisiasa, kiuchumi na kitamaduni aidha akizungumza katika sherehe hizo mgeni rasimi alisema

Natambua jitihada mbali mbali za Serikali na wadau wa maendeleo katika kutenga fursa za kielimu, kiafya na ulinzi wa mtoto kwa ujumla.  Hivyo ni jukumu la kila mmoja wetu kupambana na vikwazo vinavyomfanya mtoto kushindwa kupata haki zake za msingi. Hili nalipongeza sana kwani tumeelezwa kuwa Vijiji vyote 75 na Vitongoji 610 vina mipango ya kuhudumia watoto walio katika mazingira hatarishi. Wito wangu kwa Viongozi wote ngazi hizi mhakikishe mnasimamia kwa karibu utendaji kazi wa kamati hizi ili kuhakikisha kuwa hakuna mtoto anashindwa kwenda shule kwasababu ya  mzazi/mlezi wake hana uwezo.

Kwa kuthibitisha hilo Mgeni ambaye ni mweyekiti wa Halmashauri ya chalinze Mh. Said Zikatimu aliahidi kumsaidia kiasi cha Sh. laki saba (700,000/=) Mtoto mremavu ambaye alifichwa na wazazi wake ili asisome ila Mwalimu wa shule ya msingi alimuibua nakumpeleka shule


Katika sherehe hizo Mgeni Rasimi alizindua Chanjo Kwa watoto waliohudhuria katika Maazimisho hayo na kuwataka wazazi wote wenye umri stahiki wahakikishe wanawapeleka watoto wao kupata chanjo kitika vituo vilinvy pangwa kutoa chanjo hiyo



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.