• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Kamati ndogo TANESCO yajifunza matumizi ya forced Account Halmashauri ya Chalinze.

Imewekwa: October 21st, 2021

Kamati ndogo kutoka TANESCO Makao Makuu iliopewa jukumu la kusimamia ujenzi wa miradi mbalimbali wamefanya ziara Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kwa lengo la kujifunza ni kwa namna gani Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze imefanikiwa kwenye matumizi ya “force Account” katika kutekeleza miradi mbalimbali.

Akizungumza hii leo mwenyekiti wa kamati hiyo kutoka TANESCO Makao makuu Mhandisi: Yusuph S. Kitivo ameelezea lengo la ziara hiyo katika Halmashauri ya Chalinze na kutoa pongezi kwa Halmashauri kwa namna inavyotumia vyema fedha zake katika utekelezaji wa miradi kwa kutumia force account, Kamati hiyo imehidi kufuata nyayo za Halmashauri hiyo katika kutekeleza miradi mbalimbali inayohusisha shirika Tanzu la TANESCO.

“ Tumekuja kujifunza ni namna gani mnatekeleza miradi yenu kwa kutumia njia ya force account ili nasi tuishauri menejimenti yetu ili tuweze kufanya hizi kazi kwa kutumia Force Account, hii leo  tumejifunza mengi na tumeona majengo yenu yakiwa na ubora ambapo mwanzoni tulikuwa na wasiwasi kwamba majengo yenu yanajengwa kwa gharama ndogo labda yanaweza kua hayana ubora, lakini tumeona majengo yenu yana ubora mkubwa na yamejengwa kwa kutumia gharama ndogo sana na leo tumejifunza taratibu zenu mnazozitumia nasi tunakwenda kuishauri management tuzitumie kwa ajili ya kuijenga  TANESCO”.

Aidha Afisa Mipango Takwimu na Ufuatiliaji(w) Ndg. Shabani Milao alitoa shukrani kwa kamati hiyo  Kwaniaba ya Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze na kuwaomba kuwasemea kwa taasisi nyingine kuwa Halmashauri inawakaribisha kuja kujifunza katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.

“ Kwaniaba ya Mkurugenzi niwashukuru ndugu zetu wa TANESCO kwa ujio wao leo kwani tumepata faraja sana kwani mara nyingi mtu anapofanya kazi hajioni na leo mmeona kazi tunayoifanya na pia niwakaribishe siku nyingine tena na sisi tutakuja kujifunza kwenu lakini pia mkatusemee kwa taasisi nyingine tunawakaribisha kuja kujifunza katika Halmashauri yetu”.

Ziara hiyo ni muendelezo wa ziara za kujifunza zinazoendelea kufanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze na taasisi mbalimbali.

Afisa Mipango, Takwimu na Ufatiliaji (W) Ndugu: Shabani K Millao(Aliye vaa Suti) Akiwaongoza Wajumbe wa Kamati ndogo ya  Usimamizi wa Miradi  Toka Tanesco Makao makuu

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.