• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Kamati ya fedha utawala na Mipango yakagua miradi ya maendeleo Chalinze

Imewekwa: April 15th, 2019

Kamati ya fedha Utawala na Mipango ya halmashauri ya Wilaya ya Chalinze leo               imefanya ziara ya kukagua utekelezaji wa miradi ya maendeleo kwa robo ya Tatu ya mwaka wa Fedha 2018/2019,ziara hiyo iliyoongozwa na mwenyekiti wa halmashauri Mheshimwa Saidi Zikatimu na Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Bi Amina Kiwanuka, katika ziara hiyo wajumbe wameweza kukagua kizuia cha mapato katika kijiji cha Kihangaiko Kata ya Msata ambacho ni suluhisho wa wote waliotumia barabara ya Msata Kihangaiko ili kukwepa kulipa ushuru mbalimbali unaotokana na madini ya kokoto,Ujenzi wa jengo la mionzi katika hospitali ya wilaya ya Chalinze iliyopo katika kijiji cha Msoga Kata Msoga ujenzi unaotarajiwa kuondoa kero za wananchi wa halmashauri ya Chalinze za kukosa huduma ya mionzi kwa wagonjwa wenye uhitaji wa huduma hiyo,ujenzi wa vyumba sita vya madarasa katika shule ya Sekondari ya Mdaula iliyopo katika Kata ya Bwilingu ujenzi huu umetekelezwa kwa ubora wa hali ya juu na unaozingatia thamani halisi ya fedha na ubora wa majengo wajumbe wameupongeza uongozi wa shule kwa usimamizi bora  ,vyumba hivyo vya madarasa vimejengwa kwa fedha ya Mapato ya ndani ya halmashauri kiasi cha shilingi milioni 120.

     Aidha kamati ya fedha Utawala na Mipango iliweza pia kukagua ujenzi wa ofisi ya halmashauri inayojengwa katika Mamlaka Ya Mji Mdogo Chalinze kitongoji cha Bwilingu. Katika Ukaguzi wa ujenzi huo unaotekelezwa na wakala wa majengo Tanzania,wajumbe wa kamati hawakufurahishwa na hali ya ujenzi wa ofisi hiyo kwani wakala wa majengo wako nyuma ya wakati ukilinganisha na makubaliano kwa mujibu wa mkataba.     Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa halmashauri ya Chalinze Bi Amina Kiwanuka aliwaomba wajumbe wa kamati ya fedha na Utawala kuvuta subira kwani menejimenti ya halmashauri ya Chalinze itakaa hivi karibuni na kuleta mapendekezo katika vikao vya Madiwani na hatua za kuchukua kwa mujibu wa sheria za mkataba na hatimaye kufikia maamuzi ya pamoja kama halmashauri.     Naye Mwenyekiti wa halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Mhe Saidi Zikatimu aliwataka wataalamu kuchukua hatua haraka iwezekanavyo ili baraza lake la Madiwani waweze kulijadili suala hili na kufikia uamuzi ulio sahihi kwa maslahi ya halmashauri na wananchi kwa ujumla.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.