• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Kamati ya Mfuko wa Jimbo la Chalinze yakagua miradi ya Maendeleo

Imewekwa: February 24th, 2023

Kamati ya Mfuko wa Jimbo Halamashauri ya Challinze imefanya ziara kukagua miradi mbalimbali inayotekelezwa na mfuko huo 

Kamati hiyo imemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa namna anavyotoa fedha za mfuko huo kwenye kila jimbo hapa nchini ambazo zinatekeleza miradi inayotatua kero za wananchi.

Akizungumza wakati wa ziara hiyo kaimu mwenyekiti wa mfuko huo Mhe.Malota Kwaga amesema fedha hizo zimekuwa zikichochea maendeleo ya wananchi kwa kujikita zaidi kutekeleza miradi iliyoanzishwa.

Kwaga amesema, miradi mingi inayotekelezwa na mfuko huo ni ile iliyoibuliwa na wananchi baada ya kuwa na kikwazo cha muda mrefu kwenye maeneo yao.

"Tumshukuru Rais kwa namna anavyowajali wananchi na kuendelea kutoa fedha hizo za mfuko wa jimbo, lakini pia tumpongeze Mbunge wetu Mhe. Ridhiwani Kikwete angeweza kukaa nazo na kufanyia mambo mengine lakini amezileta huku kwa pamoja tunashuhudia kazi yake" amesema.

Awali akizungumza baada ya Kamati hiyo kukagua ujenzi wa maradi wa Zahanati kijiji cha Kwakonje Ramadhani Mkufya ameshukuru kwa fedha za uendelezaji wa ujezi huo ambao umeanzishwa na wananchi.

Ameomba Halmashauri isaidie kukamilisha mradi huo na kuondoa kikwazo kwa wananchi ambao wanatembea km 20 hadi 22 kwenda kufuata huduma za afya. 

Aidha katika kata ya Mkange Diwani wa kata hiyo Mhe. Mohamed Gelegeza ameshukuru Mbunge kuidhinisha fedha kutoka katika mfuko huo kwa ajili ya kujenga vyumba vya madarasa katika shule ya Msingi Kwamakuru ambayo ikikamilisha usajili itaondoa kikwazo cha wanafunzi kutembelea umbali mrefu.

Nae Kaimu Afisa Mipango wa Halmashauri hiyo Ndg. Rugambwa Matui amesema kuwa atafikisha maombi kwa Halmashauri kutenga fedha za ukamilisha miradi ambayo bado ili kuondoa vikwzo kwa wananchi.

Kamati hiyo imekagua mradi wa zahanati Kwakonje kata ya Kibindu, mradi wa vyoo shule ya Msingi Kwang'andu kata ya Mbwewe, mradi wa tanki la maji shule ya Msingi Masimbani kata ya Miono  Mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa Shule ya Msingi Kwamakuru Kata ya Mkange.

Miradi mingine ni katika Kata ya Mandera na Lugoba ambayo inaendelea kurekelezwa kwa mchango wa fedha za mfuko wa Jimbo.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.