• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Kamati ya Mikopo ya Halmashauri yaketi kujadili maombi ya mikopo ya makundi maalum

Imewekwa: January 30th, 2026


 

Na John Mlyambate

Kamati ya Mikopo ya Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze imeketi leo hii kujadili maombi mbalimbali ya mikopo yaliyowasilishwa na vikundi vya wajasiriamali vinavyotokana na makundi maalum, yakiwemo Vijana, Wanawake na Watu Wenye Ulemavu, kutoka kata tofauti ndani ya Halmashauri hiyo.

 

Katika kikao hicho, kamati ilipitia kwa kina na kujadili maandiko ya miradi ya wajasiriamali, ikilenga kutathmini ubora, uhalisia na uendelevu wa miradi iliyopendekezwa. Baada ya majadiliano, kamati imeidhinisha mapendekezo ya miradi iliyokidhi vigezo kwa ajili ya kupelekwa kwenye Menejimenti ya Halmashauri kwa hatua zaidi za maamuzi na utekelezaji.

 

Mikopo hiyo inatokana na asilimia 10 ya mapato ya ndani ya Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze, inayotengwa mahsusi kwa ajili ya kuwawezesha kiuchumi wananchi wa makundi maalum, kwa lengo la kukuza ajira, kuongeza kipato na kuinua uchumi wa kaya pamoja na maendeleo ya jamii kwa ujumla.

 

Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze inaendelea kusisitiza uwazi, usawa na uwajibikaji katika mchakato wa utoaji wa mikopo hiyo, huku ikihimiza vikundi vya wajasiriamali kuandaa miradi yenye tija, inayotekelezeka na yenye kuzingatia miongozo iliyowekwa ili kuhakikisha mikopo hiyo inaleta matokeo chanya kwa walengwa na Taifa kwa ujumla.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Mikopo ya Halmashauri yaketi kujadili maombi ya mikopo ya makundi maalum

    January 30, 2026
  • TRA yatambulisha Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Kodi (IDRAS)

    January 29, 2026
  • TRA yatambulisha Mfumo wa Kielektroniki wa Usimamizi wa Kodi (IDRAS)

    January 29, 2026
  • Mkurugenzi Mtendaji Halmashauri ya Chalinze Ramadhani Possi afanya kikao na wafanyabiashara wa Chalinze.

    January 29, 2026
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.