• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira yakagua Miradi yenye Thamani ya Milioni 34

Imewekwa: August 16th, 2018

Kamati ya Uchumi,Ujenzi na Mazingira ya halmashauri ya Chalinze imefanya ziara ya kukamilisha robo ya nne kwa kukagua miradi ya maendeleo iliyowezeshwa na fedha zitokanazo na mapato ya ndani ya halmashauri yenye thamani ya fedha za kitanzania milioni 34 katika vijiji vya kata za Miono na Mkange hivi karibuni.

Katika ziara hiyo kamati ilikagua shughuli za vijana wajasiriamali wa kikundi cha Genge la Vijana kilichopo katika kijiji cha Miono,kikundi hiki kiliwezeshwa na halmashauri ya wilaya ya Chalinze kwa kupewa mkopo wa Tsh 5,000,000/= ikiwa ni fedha iliyotokana na mapato ya ndani ya halmashauri kwa mujibu wa sheria ya fedha inayotaka kila halmashauri inatakiwa kutenga asilimia 10 ya mapato ya ndani kuwakopesha vijana,wanawake na watoto.

Aidha kamati ilikagua na kuona ujenzi wa Zahanati inayojengwa kwa ufadhili wa TANAPA na ujenzi wa nyumba ya mganga wa zahanati inayojengwa na halmashauri kwa mapato ya ndani na mpaka sasa halmashauri imekwisha peleka jumla ya fedha za kitanzania milioni 29 kwa kazi hiyo.

Kwa mujibu wa Katibu wa kikundi cha vijana ,Bwana Mtaula Idd alipokuwa akitoa taarifa ya mradi kwa waajumbe wa kamati aliishukuru halmashauri ya chalinze kwa jinsi inavyowawezesha vijana katika kujikwamua kiuchumi na kueleza kazi za ujasiriamali wanazozifanya baada ya kupata mkopo wamefungua Mgahawa unaofanya kazi,wamenunua”Pull table” ambayo inafanya kazi ya kuzalisha fedha pia aliongezea kwa kusema pia wana duka la vifaa vya maofisini(stationary) na wanaendelea na biashara kama kawaida.”Kutokana na shughuli hizi tunauhakika wa kuanza kufanya marejesho ya mkopo huu mapema mwezi Septemba.”Idd alisema.

Kwa upande wake Mwenyekiti wa Kamati,ambaye ni Diwani wa kata ya Msoga,Mheshimiwa Hasani Mwinyikondo aliwapongeza vijana wa kikundi cha Genge la Vijana Miono kwa jinsi wanavyojishughulisha na ujasiriamali na kuwataka vijana wa maeneo mengine ndani ya halmashauri ya Chalinze kuiga mazuri ya vijana wa Miono na kuitumia mikopo inayotolewa na halmashauri kwa weledi wa hali ya juu ili iwe na tija lakini pia kufikia azima ya serikali katika kuyakwamua makundi maalum kiuchumi.

Hata hivyo katika kuwawezesha vijana,wanawake na walemavu halmashauri ya Chalinze imeweza kuwakopesha walengwa fedha zote zilizotengwa katika bajeti husika kwa asilimia 100.”Kwa mwaka huu tunategemea kufanya vizuri zaidi katika kuwawezesha vijana,wanawake na walemavu il waweze kujikwamua kiuchumi.”Mwinyikondo alisema.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.