• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Kata ya Bwilingu yafikiwa na Elimu ya Lishe Bora kwa Vitendo

Imewekwa: September 15th, 2022


Idara ya afya kitengo cha lishe bora Halmashauri ya wilaya ya chalinze imeendelea na kampeni yake ya kutoa elimu ya uaandaji na matumizi ya lishe bora kwa kundi la kina mama wenye watoto chini ya miaka 5 na wajawazito katika kituo cha afya chalinze kata ya mbwewe ikiwa ni moja ya sehemu ya kuimarisha afya bora kwa wakazi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze.

Akizungumza kwa niaba ya Mganga Mkuu wa wilaya, Afisa Lishe wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Bi. Zainabu Waziri ameelezea dhumuni la kutoa elimu hiyo ni kuwaelimisha akina mama juu ya umuhimu wa lishe bora kwa watoto na namna ya kuandaa lishe hiyo na  kuacha tabia ya mazoea.

“Tumekuja kuwaelekeza kina mama jinsi ya kuandaa uji wa watoto na kuacha kuandaa kwa mazoea kwani kina mama wote huandaa uji wa sembe na kuweka chunvi hali inayosababisha watoto kupata utapiamlo hivyo basi tumekuja kuwaelekeza namna ya kuandaa na kuboresha lishe kwa watoto kwa kutumia vyakula vinavyopatikana katika mazingira yao kwamfano mahindi,mafuta,maziwa au mayai au Soya kama hana na pia tumewaelekeza jinsi ya kutumia mbogamboga katika uandaaji wa lishe kwa watoto”.amesema Bi. Zainabu Waziri.

Nae muuguzi katika kituo cha afya chalinze Bi Rebeca Herra amesema kuwa wataendelea kuwaelimisha na kuwakumbusha juu ya elimu ya lishe iliyotolewa kwani ni  muhimu na itawasaidia sana akina mama kuwaatunza watoto wao.

Elimu hii ya lishe iliyotolewa leo ni muhimu sana kwa akina mama kwani itawasaidia sana katika kuwatunza watoto wao kwani wao pia wameshuhudia namna ya uandaaji wa uji huo wa lishe na sisi kama wauguzi wa hapa tutakuwa tunawaelimisha na kuwakumbusha akina mama juu ya uandaaji wa lishe bora kwa watoto wao”.amesema Bi.Herra.

“Nimekuja kituo cha afya chalinze kwaajili ya kliniki ya wajawazito kwa bahati nzuri nimekutana na elimu ya uandaaji wa uji wa lishe ambao unatumia vitu vinavyopatikana katika mazingira yetu hivyo nawaomba akina mama wenzangu wenye watoto na wajawazito nawaomba tuichukue elimu hii na tukaifanyie kazi.” amesema bi.watara kungule.

Elimu hii ya utoaji wa elimu hii ya lishe bora kwawatoto chini ya miaka 5 kwa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze imelenga kuzifikia kata zote 15 katika vituo vya afya na zahanati ili kuweza kupunguza magonjwa ya utapiamlo na kuimarisha hali ya lishe bora kwa watoto.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.