• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo, Ndugu Shabani Hamisi Karage atangaza Matokeo ya uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri Chalinze

Imewekwa: December 1st, 2025

Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo, Shabani Hamisi Karage, leo Desemba 1,2025  ametangaza matokeo ya uchaguzi wa nafasi ya Uenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze ambapo Ndugu Leon Lucas Mgweno ameshinda kwa kupata kura 14 kati ya kura 20 zilizopigwa.

Mgweno amemshinda mpinzani wake, Ndugu Juma Rajabu Gurumo, aliyepata kura 6 katika uchaguzi huo uliofanyika katika ukumbi mdogo wa Halmashauri ya Chalinze. Uchaguzi huo umefanyika kwa mujibu wa taratibu za chama na kanuni za uchaguzi za CCM.

Kwa mujibu wa Katibu Karage, hatua inayofuata ni mwenyekiti huyo kupigiwa kura katika baraza jipya la madiwani ili kuthibitishwa rasmi na kuanza kutekeleza majukumu yake kwa mujibu wa Ilani ya Chama Cha Mapinduzi.

Uongozi wa CCM Wilaya ya Bagamoyo umepongeza utaratibu mzima wa uchaguzi huo na kuwataka viongozi wote wa chama kuendelea kushirikiana katika kutekeleza mipango na malengo ya maendeleo ya Chalinze.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Katibu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo, Ndugu Shabani Hamisi Karage atangaza Matokeo ya uchaguzi wa nafasi ya Mwenyekiti wa Halmashauri Chalinze

    December 01, 2025
  • Wananchi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze wameendelea kushiriki kikamilifu katika maadhimisho ya Siku ya Afya na Mazingira ya Mwisho wa Mwezi

    November 29, 2025
  • Shule ya Sekondari Chalinze yaanza kujengewa Mabweni ya Wanawake, kupunguza umbali wanafunzi kwenda Shuleni

    November 28, 2025
  • Chalinze yajipanga kuimarisha ukusanyaji wa mapato mwaka wa Fedha 2025/2026

    November 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.