• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Maadhimisho ya kuzaliwa Kwa Rais Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan Halmashauri ya Chalinze yaungana nae katika upandaji wa miti.

Imewekwa: January 28th, 2026


Katika kuadhimisha siku ya kuzaliwa ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan, Januari 27, 2026,Halmashauri ya  Wilaya ya Chalinze imeungana na jitihada zake za kuboresha na kuhifadhi mazingira kupitia zoezi la upandaji miti lililofanyika katika Shule ya Amali Msoga.

Zoezi hilo limeongozwa na aliyekuwa Mwenyekiti wa Halmashauri na Diwani wa sasa wa Kata ya Msoga, Mhe. Hassan Rajab Mwinyikondo, ambaye amesisitiza umuhimu wa kuhifadhi na kutunza mazingira kwa manufaa ya kizazi cha sasa na kijacho.

Mhe. Mwinyikondo amesema kuwa jamii haipaswi kuishia kupanda miti pekee, bali ihakikishe inatunzwa ili iweze kukua vizuri na kuacha alama chanya kwa vizazi vijavyo. Aidha, amemshukuru Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kutoa mfano mzuri wa kuonesha umuhimu wa miti katika jamii.

Mwinyikondo amesema kuwa utunzaji wa miti unahusisha pia kuepuka matumizi mabaya ya nishati inayochangia ukataji wa miti, na badala yake kutumia nishati safi ili kulinda mazingira. Pia ametoa rai kwa wananchi kutumia eneo hilo ipasavyo kwa kupanda miti ya matunda kama maembe na mikorosho, hatua itakayosaidia kuinua uchumi na kuwafaidisha wanafunzi wa shule hiyo.

Kwa upande wake, Afisa Misitu kutoka Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Robert Mwangosi, amesema jumla ya miche 426 imepandwa huku akieleza  kuwa lengo la zoezi hilo ni kutunza mazingira na kurithisha rasilimali hizo kwa vizazi vijavyo pia amesisitiza kuwa kupanda na kutunza miti ni mchango mkubwa kwa jamii na hifadhi za taifa, sambamba na kaulimbiu isemayo “Tumerithishwa, tuwarithishe.”

Naye Afisa Tarafa wa Msoga Sijaona M. Bugufi, amempongeza Rais kwa juhudi zake za kuhamasisha upandaji miti na kuwataka wananchi kuendeleza umoja waliouonesha wakati wa zoezi hilo kwa kuitunza miti iliyopandwa. Amesisitiza kuwa suala la utunzaji wa mazingira linapaswa kuwa endelevu na si la siku moja, amehitimisha kwa kauli mbiu isemayo “Uzalendo ni Kutunza Mazingira, Tushiriki Kupanda Miti.”

Zoezi hili limehudhuriwa na wananchi mbalimbali wa Kata ya Msoga, likiwa ni ishara ya mshikamano na ushiriki wa jamii katika kumuunga mkono Rais wa Jamhuri ya Mu

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Maadhimisho ya kuzaliwa Kwa Rais Mhe. Dkt, Samia Suluhu Hassan Halmashauri ya Chalinze yaungana nae katika upandaji wa miti.

    January 28, 2026
  • Mamlaka ya Usimamizi wa Ununuzi wa Umma nchini (PPRA) yatoa Elimu Kwa wajasiriamali wa chalinze kuhusu fursa za ununuzi wa umma

    January 28, 2026
  • Kamati ya Elimu Afya na Maji yafanya ziara kwenye miradi ya maendeleo yaipongeza serikali Kwa kukamilisha mradi wa jengo la OPD na utawala Msoga

    January 28, 2026
  • Dkt mukungu atoa wito wa mtindo bora wa maisha kwa wanaoishi na UKIMWI

    January 27, 2026
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.