• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MAAFISISA UGANI WAASWA KUCHAPA KAZI NA KUACHA VISINGIZIO

Imewekwa: August 21st, 2017

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya chalinze akizungumza wakati wa Makabidhiano ya Pikipiki alisema ‘ Nakushukuru Ngugu Mgeni Rasimi Mh. Ridhiwani J Kikwete kwa kutenga moda wako na kuja kukabidhi Vyombo hivi vya usafiri kwa wtaalamu wetu wa Kilimo na Mifugo, Kipekee nitoe witu tu kwa waalam wote ambao watapatiwa Pikipiki hizi waende kufanya kazi ili kuleta tija katika uzalishaji wa Mazao na Uboreshaji wa afya za Mifugo.

Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri alisema kuwa hayo yote yamefanyika kwa nia ya kuongeza ufanisi katika utendaji wa Halmashauri. Pia aliahidi kufanya utaratibu wa kutenga bajeti kwa mwaka ujao wa fedha kwa ajili ya kuwanunulia pikipiki Maafisa Watendaji wa Kata. Alisisitiza kuwa Halmashauri ya Chalinze itaongeza katika zoezi la kupiga chapa.

Akisoma Taarifa Mkuu wa kitengo Cha Mifugo Dr Issac Khama alisema ‘Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze kupitia Idara ya Mifugo na Uvuvi ilitenga kiasi cha Tsh. 22,500,000/=  kwa ajili ya ununuzi wa pikipiki  10 kwa ajili ya maafisa Ugani wa Mifugo. Ununuzi wa pikipiki hizo ulilenga kufanikisha huduma za ugani ili mifugo pamoja na wafugaji waweze kufikiwa kwa urahisi na kupatiwa huduma kwa wakati. Aidha pikipiki hizo ni awamu ya kwanza tu na awamu ijayo wataalamu waliobaki nao watapatiwa usafiri ili waweze kuhudumia jamii na kuleta ufugaji wenye tija kupata taarifa yote  BOFYA HAPA

Aidha Mgeni Rasimi ambae ni Mbunge a Jimbo la Chalinze alifafanua, mambo ya fuatayo, Aliwashukuru watendaji wa Halmashauri kwa kutii maagizo mbalimbali ambayo hua yanatolewa akizungumza juu ya migogoro ya wafugaji na wakulima na kuwataka Maafisa waacha visingizizo vya kukosa vitendea kazi kwani kwa kukabidhiwa pikipiki hizi wanastahili kufanya kazi

Pikipiki hizo zisaidie katika kusambaza chanjo za mifugo vijijini, Vitendea  kazi hivyo vilenge kazi iliyokusudiwa tu, Vyombo hivyo vitumike kufikisha sera ya ufugaji wa kisasa, Vyombo hivyo vya usafiri vitumike katika kutoa elimu mbalimbali zinazohusu mifugo, Vyombo hivyo vya usafiri vitumike kupiga kampeni ya kupiga chapa ng’ombe ili kuwepo na idadi halisi ya mifugo iliyopigwa chapa katika kila Kata, Maafisa ugani wakahimize utunzaji wa mazingira na kutoa elimu ya kuzuia ukataji miti kwa ajili ya ufufgaji.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Maandalizi ya Maonyesho ya Nanenane kanda ya Mashariki yapamba moto

    July 29, 2025
  • Halmashauri ya wilaya ya Chalinze kujenga kituo cha mafuta kwa mapato ya ndani

    July 16, 2025
  • Mkurugenzi Mtendaji Chalinze Atembelea maonyesho ya 49 ya Saba saba

    July 14, 2025
  • Walimu wapewa maelekezo ya kazi Chalinze

    July 10, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.