• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

MAANDALIZI YA MBIO ZA MWENGE YASHIKA KASI HALMASHAURI YA CHALINZE

Imewekwa: April 11th, 2017

Mkuu wa wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani Mh:  Alhaj  Majid Mwanga amezidua vikao vya maandalizi ya mbio za mwenge wa uhuru katika halmashauri ya Chalinze  tarehe 21/04/2017. Akizungumza katika kikao cha kwanza cha maandalizi ya mbio za mwenge wa uhuru amesema Mkoa wa pwani unatarajia kupokea mwenge wa uhuru siku ya 01.06.2017 nakuzunguka katika halmashauri zote tisa (9) za mkoa wa pwani, Halmashauri ya chalinze mwenge unatarajiwa kufika tarehe 9.06.2017 na ndio itakua halmashauri ya mwisho kwa mkoa wa pwani na kuukabidhi Mwenge wa uhuru mkoa wa Morogoro siku ya tarehe 10.06.2017

Kikao hicho kilihudhuliwa na makatibu tarafa kutoka kata mbalimbali, watendaji wa kata na vijiji, viongozi kutoka taasisi za uma kama vile CHALIWASO, TANESCO, NMB na wakuu wa idara zote kutoka Halmashauri ya Chalinze. Mkuu wa wilaya na wajumbe wote walijadiliana na kuweka mikakati ya kufanikisha ujio wa mwenge wa uhuru katika halmashauri ya Chalinze.

Akizungumza katika kikao hicho Mh:  Alhaj  Majid Mwanga amewatahadharisha wajumbe na viongozi wa halmashauri kutumia ueledi mkubwa katika kuandaa bajeti ili isiwe kubwa sana na kutafsiliwa tofauti na wananchi ukizingatia kua serikari ya awamu ya tano ni serikari ya kubana matumizi.


Aidha Mratibu wa mbio za mwengi halmashauri ya Chalinze Bi Lydia Masenha ambae ni afisa utamaduni wa halmashauri ya Chalinze aliainisha agenda ambazo zitajadiliwa kwenye kikao ni pamoja na kupaga kamati mbalimbali zitakazo shughurikia maswala mbalimbali, kamati hizo ni pamoja na Ulinzi na usalama, Ujenzi na mapambo, usafiri na maradhi, Chakula, sale na zawadi Habari na utamaduni, Risara na ratiba.  

Akizungumza katika kikao hicho mkurugezi wa halmashauri ya Chalinze Mr. Edes Lukoa amewataka wanakamti wote kukutana na kupanga bajeti ambayo watakayo tumia katika kamati yao na katika kikao kinacho fuata kila kamati itatoa bajeti yake ili ijadiliwe na kupitishwa na wajumbe






Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.