• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Madiwani Chalinze wazungumza na Mkuu wa Mkoa wa Geita na Uongozi wa Halmashauri ya Mji wa Nzega

Imewekwa: November 20th, 2023


Madiwani wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze mkoani Pwani wamefika Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Geita na kuzungumza naye katika ziara yao ya mafunzo mkoani humo.wakiwa ofisini kwa Mkuu wa mkoa waliweza kupata taarifa ya mkoa kwa ujumla hususan katika suala zima la ukusanyaji mapato.


Mkuu wa Mkoa wa Geita Mheshimiwa Martin Shigela aliwakaribisha Madiwani na wataalam kutoka Chalinze na kuwaeleza uzuri na mafanikio ya Halmashauri ya Mji wa Geita na mkoa wa Geita kwa ujumla. Mkuu wa mkoa aliwaeleza madiwani kuwa chanzo kikuu cha mapato ni madini ya dhahabu ambayo kimsingi yanapatikana katika wilaya nyingi za mkoa huu wa Geita. Chanzo hiki kimekuwa chanzo kikuu ambacho kinaziwezesha Halmashauri nyingi mkoani Geita kujiendesha na kutoa huduma kwa wananchi.


Kwa upande wa Mweka Hazina wa Halmashauri ya Mji wa Geita Bwana Katikilo Kashaija Alieleza bayana kuwa asilimia 60 ya mapato ya Halmashauri ya Mji wa Geita yanatokana na madini na asilimia 40 ya mapato hayo yanapatikana kutokana na vyanzo vingine kama leseni,machinjio,mpira wa miguu ushuru wa huduma na ushuru wa stendi.


Aidha Mweka Hazina wa Halmashauri ya Mji wa Geita alieleza namna Halmashauri inavyopanda katika ukusanyaji wa mapato kwa kila mwaka. Halmashauri ya Mji ilikuwa ikikusanya Bilioni 5 kwa sasa Halmashauri inakusanaya Bilioni 14 kwa mwaka kwa huu wa fedha 2023/2024.


Madiwani na wataalam walipata uzoefu namna ya kukusanya ushuru wa huduma kwa makampuni lakini pia urejeshaji wa mapato kwa jamii yaani Social Corporate Responsibility(SCR). Kwa Kusimamia Sheria zilizopo ili kila mdau atekeleze wajibu wake pasipo kukwepa.


Aidha katika ziara hiyo madiwani walitembelea baadhi ya miradi ya Maendeleo katika Mji wa Geita kama Ujenzi wa uwanja wa mpira unaojengwa kutokana na mapato ya ndani,kituo cha mabasi na soko la dhahabu lililopo katika mji wa Geita na baada ya hapo kikao cha majumuisho kilifanyika.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.