• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mafunzo ya Dunia yangu Bora yafungwa Chalinze

Imewekwa: September 8th, 2022

Mafunzo ya Dunia yangu bora yafungwa rasmi Chalinze 

Kaimu Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze Bi.Salama Ndyetabura hii leo tarehe 8/09/2022 amefunga mafunzo ya siku tatu yalioandaliwa na shirika la CAMFED yanayofahamika kama “Dunia yangu bora.”katika shule ya sekondari Lugoba ambapo mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha walimu walezi (Teacher’s Mentor) wanaotoka katika shule zilizopo katika Wilaya mbalimbali za mkoa wa Pwani ili waweze kupata ujuzi na kuweza kuwasimamia waongozaji wa Dunia yangu bora mashuleni.


Bi Ndyetabura amefunga mafunzo hayo ya siku tatu na kuwaasa washiriki wa mafunzo hayo kwenda kuifanyia kazi elimu waliyoipata kutoka kwa wakufunzi na kuwa mstari wa mbele kwa kuonesha mfano kwenye shule wanazotoka washiriki hao.

“Niwaombe mafunzo haya yakawe mafunzo yenye manufaa  na mkawasimamie hawa walimu wanaowasimamia vijana na pia tukawe mstari wa mbele kwenye mafunzo haya na kuonyesha mfano kwenye shule zenu na mara baada ya hapa kila mmoja wenu akaweke mpango kazi na kufanya tathmini kila baada ya muda”. Amesema Bi. Ndyetabula.

Aidha Bi. Salama amewaomba washiriki wa mafunzo hayo kutoyachukulia mafunzo hayo kama msaafu bali wawe wabunifu  kwenye elimu waliyoipata kwenye mafunzo ili waweze kurudisha fadhila kwenye jamii kwani kwa kufanya hivyo kunaweza kusaidia kuokoa hata mtoto mmoja. 

Naye muwezeshaji wa mafunzo hayo yanayofahamika kama Dunia yangu bora Bi,. Fatma Abdul ameelezea lengo kuu lililowafanya kufanya mafunzo hayo kwa walimu ambapo ni pamoja na kuwafanya walimu haokuwa mabalozi wazuri katika shule zao na kuwasimamia waongozaji wa elimu hii ya Dunia yangu bora. 

kuwasidia wanafunzi kujitambua na kujua changamoto zao na kwakifupi ni kujua stadi za maisha ambazo binadamu au mwanafunzi anazipitia katika maisha yake  na hivyo basi kumuwezesha mwalimu wa malezi kupata ujuzi kuhusuiana na elimu hii tunategemea atakuwa ni balozi katika shule yake na kumsimamia muongozaji wa Dunia yangu bora kutimiza majukumu yake.

Vilevile Bi Fatma Abdul amesema kuwa kwa kuwezesha walimu hao kutafanya kuwa faida kwa jamii inayowazunguka pamoja na kuweza kuongeza ufaulu mashuleni ,kupunguza utoro na kupunguza mimba mashuleni

Kuwawezesha walimu walezi katika shule za mkoa wa Pwani ili waweze kupata ujuzi stadi za maisha.

Aidha kwaniaba ya walimu waliohudhuria mafunzo hayo ya takribani wiki moja Mwalimu Christina Nyahuto amefurahishwa na mafunzo hayo na kuahidi kuyafanyia kazi mafunzo hayo kwa vitendo hasa katika kuwahamasisha walimu wenzao na wanafunzi kufuatilia elimu ya Dunia nyangu bora  pindi watakaporudi mashuleni.

“Hivyo tumefurahia mafunzo haya tuliyoyapata tutawaelekeza walimu wenzetu juu ya umuhimu wa muongozaji wa elimu ya Dunia yangu bora shuleni  na vile vile tutawahamasisha wanafunzi kufuatilia elimu hii kwani ina manufaa makubwa na vile vile tumejifunza sera ya ulinzi kwa mtoto na malezi ya metoto kwa ujumla kwamba mtoto ana haki ya kupendwa ,kusikilizwa lakini pia tunapaswa kumjali na kumpa maadili mema”. Amesema mwl. Christina Nyahuto.

Walimu wakiwa katika mafunzo ya Dunia yangu Bora katika Ukumbi wa Shule ya Sekondari Lugoba katika Halmashauri ya Chalinze 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.