• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mbunge Ridhiwanii Kikwete afanya Ziara TARURA

Imewekwa: November 29th, 2020



MBUNGE wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete ameendelea na ziara maalum ambapo leo ametembelea ofisi za Wakala wa Barabara za Vijijini na Mijini-Tanzania (TARURA)-Chalinze ili kuona namna wanavyofanya kuendelea kuboresha miundombinu ya barabara korofi za Halmashauri hiyo.


Awali akifanya mazungumzo na Meneja wa TARURA-Chalinze, Mbunge Ridhiwani alitaka kufahamu mpango mkakati wa namna ya kuboresha baadhi ya barabara zilizo katika Kata hiyo ambazo zimekuwa kero kwa kipindi kirefu.


"Chalinze tuna barabara nyingi lakini baadhi ya barabara hizo zina usumbufu mkubwa hasa baada ya wakati wa mvua hazipitiki kirahisi; je Tarura tumejipangaje na ni kwa namna zitakavyokuwa zinapitika muda wote.?"


Pamoja na hoja hiyo Mheshimiwa Mbunge alitamani kujua wamejipangaje kufungua baadhi ya barabara ambazo zikifunguliwa zitakuwa msaada mkubwa kwa Wananchi wa Chalinze kufikia malengo." Alisema Ridhiwani.


Kwa upande wake Meneja wa TARURA-Chalinze, Muhandisi Enrico Shauri alianza kwa kupongeza ziara hiyo ya Mbunge ambapo pia aliahidi kuyafanyia kazi maagizo na ushauri wote  uliotolewa kayoka mazungumzo yao.


Muhandisi Shauri alieleza changamoto kubwa wanayokabili ni ufinyu wa Bajeti ambao unasababisha ufanisi wa kazi zao kusuasua" akifafamua Muhandisi Shauri alisema kuwa TARURA-Chalinze ina kilometa (KM) 679 ambazo ni nyingi sana kwa bejeti inayotengwa ya mfuko wa barabara ni  Milioni 700.44. Kwa mwaka huu 2020-2021 tumeshapewa milioni 200 na zingine zitaendelea kutolewa kwa awamu.utolewaji wa haraka wa mafungu ndiyo utawezesha kukamilika kwa kazi mapema.


Mh. Mbunge alimuahidi Meneja wa Tarura kwenda kushauriana na madiwani wenzake kwa kujenga Hoja ili aongezewe mafungu ili kuwezesha ujenzi wa Miundo mbinu ya Halmashauri ufanyike haraka kwa faida ya Maendeleo ya Chalinze na Tanzania kwa Jumla.


Kwa upande wa Mh. Mbunge alimshukuru Mkandarasi na Tarura kwa jinsi walivyojitahidi kujenga miundombinu pamoja na changamoto hiyo ya kibajeti.


Pamoja na kusikiq toka Tarura, Mh.Mbunge alitumia nafasi hiyo kuhimiza maandalizi ya marekebisho na ujenzi wa barabara korofi zote za halmashauri zikiwemo zile za kata ya Kimange, Miono, Mkange, Vigwaza, Ubena, Talawanda,Mandela,Mji wa Chalinze na maeneo mengine kama sehemu za kutolewa macho sana kutokana na shughuli za kimaendeleo na kuchangia uchumi katika Halmashauri hiyo.


Mheshimiwa Mbunge alimaliza kwa kuwaahidi Ushirikiano mkubwa ili kufikia malengo makubwa waliyopanga kuyasimamia kwa pamoja wakishirikiana na Wananchi.


Ziara ya Kata kwa kata inaanza Jumatatu tarehe 30 ambapo Mbunge anataraji kwenda kata Kata kukagua miradi ya Maendeleo na kuzungumza na Wananchi kusikia kero na matarajio waliyonayo kwa Serikali yao Inayoongozwa na Raisi Dr. John Pombe Magufuli.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.