• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mheshimiwa Kikwete ameishukuru Serikali ya Dkt Samia kwa kutoa vifaa kwa wanafunzi wenye ulemavu Chalinze

Imewekwa: August 21st, 2023

NAIBU Waziri, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora,    Ridhiwani Kikwete, ameishukuru   Serikali ya Rais Dkt.Samia Hassan Suluhu, kutambua na kutoa vifaa mbalimbali vya wanafunzi wenye ulemavu katika halmashauri ya wilaya ya Chalinze              



Akizungumza  leo kwenye hafla maalum ya kukabidhi vitu mbalimbali vya wanafunzi wenye ulemavu, katika shule zilizopo kwenye halmashauri ya Chalinze,alisema vifaa hivyo vitasaidia kutatua changamoto ya ukosefu wa vifaa vya kufundishia katika Shule za wanafunzi wenye mahitaji maalumu ikiwemo walemavu wa macho


     

"pongezi ziende kwa Rais Dkt Samia Suluhu Hassan, amekuwa akiwajali watoto wenye ulemavu Sana na Leo ametoa vifaa mbalimbali vya kujisomea watoto wetu walemavu wa macho na pia vifaa kama vitimwendo Kwa wale wasio na uwezo wa kutembea"alisema


 "Vifaa vitasaidia wanafunzi wenye ulemevu kuweza kwenda shule kwa wakati na kujisomea kwa wenye tatizo la kutoona na ikizingatiwa hapa tunazo shule Mbunge wa jimbo la Chalinze shule mbili za walemavu ambazo ni Shule ya Msingi Chalinze na Lugoba"alisema


 Aidha naibu waziri huyo aliitaka jamii husasan wazazi na walezi kuacha tabia ya kuwafungia watoto ndani na kuwapeleka katika shule hizo ambazo zitawasaidia kupata elimu Bora itakayo wasaidia katika Maisha Yao ya baadae.



Akizungumza wakati wa makabidhiano hayo, Afisa Elimu Sekondari,

Salama Ndyetabura, alisema wamepokea vifaa vya makundi makuu matatu ambavyo ni vya viziwi, walemavu wa viungo, walemavu wa akili na  walemavu wa ngozi ambavyo  vimetolewa kwa idara zote mbili za Elimu ya Msingi na Sekondari. 


 Aidha alisema jumla ya wanafunzi wenye mahitaji maalumu wa msingi na sekondari ni 695 ambapo sekondari ni 164 na msingi 531 na kwamba changamoto inayowakabili ni ukosefu wa walimu wa mahitaji maalumu ambapo mahitaji ni walimu 60


"Changamoto ni nyingi ambazo ni ukosefu wa walimu wa mahitaji maalumu, bajeti finyu Kwa ajili ya mitihani ya utimilifu, baadhi ya Wazazi kutoona umuhimu wa kuwaleta watoto shuleni,miundombinu isiyokidhi, ukosefu wa vitabu vya kiada na ukosefu wa kitu maalumu cha upimaji"alisema



Wakati huo huo Naibu Waziri huyo, alizindua gari la Zima moto lilinunuliwa na Serikali kwa ajili ya kutoa huduma ya kuzima moto na kuwataka wananchi kutumia vema namba iliyotolewa ya kutoa taarifa na kuacha kufanya mizaha sambamba na kuchukua tahadhari ya kujikinga na majanga hayo.


Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango chafanya kikao kujadili mapato na matumizi kwa mwezi Aprili 2025.

    May 31, 2025
  • Maafisa Habari watakiwa kuitangaza miradi ya serikali

    May 30, 2025
  • Halmashauri ya Chalinze yatembelewa na wawekezaji wa nyumba

    May 29, 2025
  • Kampeni ya "Ni rahisi sana"yatoa Elimu kuhushu usalama Mtandaoni Chalinze

    May 28, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.