• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Milioni 350 kununua vifaa tiba kwa Zahanati 11 Chalinze

Imewekwa: February 17th, 2023


Halmashauri ya wilaya ya Chalinze Mkoani Pwani kwa mwaka huu wa fedha 2022/2023 imepokea jumla ya fedha za kitanzania milioni 350 kwa ajili ya vifaa tiba katika zahanati 11 mpya zilizofunguliwa rasmi mwaka 2022 katika halmashauri ya Chalinze.


Vifaa tiba hivyo kwa zahanati hizo kumi na moja vimekabidhiwa na Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze,Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete kwa waheshimiwa madiwani wa zahanati husika.


Zahanati mpya zilizopokea vifaa tiba hivyo ni Chahua,Kibaoni,Msigi,Pingo,Diozile,Kihangaiko,Mwetemo,Ubenazomozi,Mdaula,Kilemera na Mnindi. Hali kadhalika Serikali imenunua vifaa tiba kwa ajili ya vituo vya afya Msata na Kibindu ili kuviwezesha kutoa huduma za upasuaji.


Mheshimiwa Ridhiwani Kikwete katika hotuba yake ya kukabidhi vifaa tiba hivyo kwa Zahanati hizo mpya alimshukuru Serikali ya Dkt Samia Suluhu Hassan kwa juhudi za makusudi inazozichukua katika kuboresha na kuimarisha sekta ya afya katika Halmashauri ya Chalinze.

“Nitumie fursa hii kumshukuru Mheshimiwa Rais kwa namna anavyotujali wanachalinze katika kuboresha miundombinu ya afya kuanzia zahanati zetu,vituo vya afya,hospitali ya wilaya na jengo la huduma za matibabu ya dharura Nani kama Dkt Samia Suluhu Hassan?” Ridhiwani alisema.


Naibu Waziri aliendelea kuwaasa Watumishi wa afya kuvitunza vifaa tiba hivyo ili vidumu na kutumika kwa muda mrefu. Kwani wakivitunza navyo vitawatunza wananchi kwa matibabu ya uhakika pasipo kuifuata huduma nje ya Chalinze.


Naye  Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze,Mheshimiwa Hassani Mwinyikondo kwa niaba ya Baraza la Madiwani alimpongeza Mheshimiwa Mbunge wa Jimbo la Chalinze kwa juhudi anazozifanya kuisemea Halmashauri ya Chalinze na hata miradi mingi yenye tija inapatikana kwa wanachalinze na akamalizia kwa kumshukuru Dkt Samia Suluhu Hassan kwa kuiona na kuipatia miradi mizuri na yenye tija katika sekta mbalimbali.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Maandalizi ya Maonyesho ya Nanenane kanda ya Mashariki yapamba moto

    July 29, 2025
  • Halmashauri ya wilaya ya Chalinze kujenga kituo cha mafuta kwa mapato ya ndani

    July 16, 2025
  • Mkurugenzi Mtendaji Chalinze Atembelea maonyesho ya 49 ya Saba saba

    July 14, 2025
  • Walimu wapewa maelekezo ya kazi Chalinze

    July 10, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.