• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Milioni 400 Kuondoa Matatizo ya Afya Kibindu

Imewekwa: September 27th, 2018



Mkurugenzi mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze Bi Amina Kiwanuka amewataka wananchi wa kata ya Kibindu kuunga mkono juhudi za serikali kwa kujitoa kwa dhati katika ujenzi wa miundombinu ya afya unaoendelea katika zahanati ya Kibindu, kutokana na Fedha iliyitolewa na serikali kuu kiasi cha Fedha za kitanzania Milioni 400 kwa ajili ya kuongezea miundombinu ya afya katika vituo vya afya na Zahanati nchini kote


Mkurugenzi Kiwanuka ameyasema hayo leo alipokuwa akisimamia ujenzi wa miundombinu ya afya akiwa na wananchi wa Kibindu."Nawaagiza watendaji wa vijiji na kata hamasisheni wananchi waweze kushiriki katika ujenzi wa miundombinu ya afya ili kuunga mkono juhudi za serikali ya awamu ya tano katika kuondokana na kero ya wananchi kukosa huduma za afya,tujitahidi kwa nguvu zote ili ifikapo Oktiba 30 majengo haya yawe tayari nimejaza mkataba mbele ya Mkuu wa Mkoa kumthibitishia hivyo wananchi tuchape kazi inawezekana." Kiwanuka alisema


Aliongezea kwa kuwasisitiza mafundi wanaojenga majengo hayo kufanya kazi kwa bidii ili kumaliza kwa wakati na kunapokuwa na changamoto yoyote ile wawasiliane naye moja kwa moja ili ujenzi usisimame kwa vikwazo vinavyoweza kutatuliwa ili kwenda na wakati na hatimaye wananchi wapate huduma za afya kwa wakati.


Kwa upande wake Diwani wa kata ya Kibindu Mheshimiwa Ramadhani Mkufya akizungumza kwa niaba ya wananchi ameishukuru serikali ya awamu ya tano kwa kitendo cha kuanza ujenzi Wa miundombinu ya afya katika kijiji cha Kibindu. "Ujenzi wa miundombinu hii ni wazi serikali ya awamu ya tano inatekeleza ilani ya Uchaguzi kwa vitendo na kituo hiki kitaondoa kero kwa wananchi kwani watapata huduma bora za afya na kunusuru afya ya mama na mtoto katika kata hii ya Kibindu."Mkufya alisema.


Mkufya aliongezea kwa kuahidi kufanya kazi hii kwa ushirikiano wa hali ya juu ili kukamilisha na wananchi wana mwitikio chanya katika kazi hii kwani huduma hii wameisubiri kwa muda mrefu sasa.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • TANGAZO LA KAZI June 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • Waziri Dkt Kijaji Azindua Kampeni ya Chanjo ya Mifugo Kitaifa Mkoani Pwani

    July 09, 2025
  • Waziri Kikwete Apokea Hundi ya Tsh Milioni 52 kutoka kiwanda cha Keda

    June 21, 2025
  • Chalinze yapongezwa kwa Hati Safi Mfululizo miaka mitano

    June 18, 2025
  • Mwenyekiti wa UWT akagua miradi ya maendeleo Chalinze

    June 13, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.