• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Miradi yenye Thamani ya Bilioni 60 yatekelezwa ndani ya siku 365 za Rais Samia

Imewekwa: March 17th, 2022

CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Bagamoyo kimempongeza Rais Samia Suluhu Hassani kwa kuidhinisha zaidi za bilion 60 kwa ajili ya kutekeleza miradi mbali mbali ya Maendeleo  katika Halmashauri ya  Chalinze.



Shukrani hizo zimetolewa jana mjini Chalinze na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Bagamoyo Abdul Sharifu baada ya ziara ya siku moja ya Kamati ya Siasa ya Chama hicho kukagua miradi ambayo imetekelezwa katika kipindi cha mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan.



Mwenyekiti huyo alisema miradi iliyotekelezwa katika Halmashauri hiyo imeonyesha thamani ya fedha zilizotolewa  na hivyo kutatua vikwazo zilivyokuwa vinawakabili wananchi.



Sharifu aliipongeza Halmashauri ya Chalinze kwa kutekeleza miradi ambayo kati ya hiyo ipo ambayo ni vyanzo vya mapato ya ndani ambavyo vitasababisha kupata fedha za kutatua vikwazo kwa wananchi na kuendelea kuleta maendeleo.



" Tunamuombea Rais wetu maisha marefu aendelee kutuletea maendeleo, kipindi cha mwaka mmoja tu hapa chalinze zaidi ya Bilion 60 zimeletwa kutekeleza miradi,  tunampongeza pia Mkurugenzi wetu kazi yake inaonekana thamani ya miradi imeonekana" alisema Sharifu.



Akizungumza katika ziara hiyo Mkurugenzi wa Halmashauri ya Chalinze Ramadhani Posi alisema katika kipindi cha mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan vyumba vya madarasa kwa shule za sekondari na shikizi vimejengwa na kuondoa mlundikano wa wanafunzi huku wengine wakisogezewa huduma ya elimu karibu.



Aidha Posi alisema soko la Chalinze, stendi ya mabasi ni moja ya vyanzo vya mapato ambavyo vimekamiliki na vita ambavyo vitachangia kukuza mapato ya Halmashauri.



Alisema stendi ya mabasi  ambayo imeanza kufanya kazi Januari mosi mwaka huu mabasi 500 hadi 600 yanaingia kwa siku lakini pia wapo wajasiriamali wadogo 600 hadi 700 wanaofanya shughuli zao katika stendi hiyo ambao nao wanachangia mapato kwa kulipa ushuru.



Kamati hiyo ya siasa ilitembelea mradi wa soko, vyumba vya madarasa katika shule ya sekondari kiwangwa, wodi ya wazazi  hospitali ya Msoga, stendi ya mabasi pamoja na mradi wa maji Mlandizi Mboga ambao unaelezwa kuwa suluhisho la ukosefu wa maji katika mji wa Chalinze, vigwaza na maeneo ya Ruvu.



Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.