• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Miundombinu ya Shule ya Msingi Msoga kuboreshwa

Imewekwa: November 3rd, 2022


Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze , Bwana  Ramadhani Possi ameahidi kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia kwa kutatua changamoto ya upungufu wa vyoo vya wanafunzi ,nyumba za walimu na ukosefu wa maji katika shule ya Msingi Msoga.


Ramadhani Possi ametoa ahadi hiyo leo katika mahafali ya wanafunzi wa darasa la saba alipokuwa akitoa hotuba yake kama mgeni rasmi.

“Nimepokea changamoto zinazoikabili shule hii kama upungufu wa matundu ya vyookwa wanafunzi,upungufu wa nyumba za walimu na ukosefu wa maji katika shule hii,utatuzi wa kero hizi utafanyika kwa awamu kwa kadiri tunavyokusanya mapato yetu ya ndani na kwa mwaka wa fedha ujao nyumba moja kwa ajili ya walimu itajengwa.” Possi alisema.


Aidha Mkurugenzi Possi aliwataka wazazi kushirikiana na walimu katika kuboresha mazingira ya kufundishia na kujifunzia ili kuinua kiwango cha ufaulu wa shule hiyo,sanjari na kuhakikisha watoto wanapokuwa shuleni wanapata chakula cha mchana.


Naye Afisa Elimu Awali na Msingi, Bi: Miriam Kihiyo aliwasihi wazazi,walimu na wanafunzi kutekeleza majukumu yao ili kuinua kiwango cha ufaulu kwa wanafunzi na kuwataka wazazi kuwa chachu na hamasa kwa watoto wao katika kufanya vizuri katika masomo na siyo kuwahadaa waandike vibaya katika mitihani.


Kwa upande wake Diwani wa kata ya Msoga na Mwenyekiti wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze,Hassani Mwinyikondo alitoa shukrani za dhati kwa Mgeni rasmi kwa kukubali kwake na hatimaye kutatua changamoto mbalimbali zinazoikabili shule ya Msingi Msoga.

“Nikupongeze Mgeni rasmi kwa kukubali kwako kushiriki nasi katika mahafali hii ya kuwapongeza vijana wetu kuhitimu elimu ya msingi lakini pia kutatua changamoto zinazoikabili shule hii kwa lengo la kuboresha mazingira ya kujifunzia na kufundishia,tunakushukuru sana.” Mwinyikondo alisema.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.