• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mkurugenzi Kiwanuka Awafunda Watumishi Chalinze

Imewekwa: August 31st, 2018

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya wilaya ya Chalinze, Bi Amina Kiwanuka awafunda watumishi wake kwa kuwataka kufanya Kazi kwa kuzingatia sheria taratibu na kanuni za Utumishi wa umma. Nasaha hizo amezitoa Leo alipokuwa akizungumza na watumishi hao katika ukumbi wa Halmashauri ya wilaya,baada ya kuwa ameripoti katika Halmashauri hiyo akitokea Halmashauri ya wilaya ya Wanging'ombe kufuatia mabadiliko ya wakurugenzi watendaji yaliyofanywa na Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano hivi karibuni.

Mkurugenzi Kiwanuka amewataka wafanyakazi wa Chalinze kufanya Kazi kwa weledi na kutumia Taaluma zao kumshauri katika utendaji Kazi bila kupotosha kwa kuzingatia sheria zinatawala utendaji Kazi na miiko ya Kazi husika.

Aliendelea kufafanua kuwa kufika kazini kwa wakati na kuondoka kwa wakati ni kwa mujibu wa kanuni za kudumu za Utumishi wa umma za mwaka 2009 ni kitu ambacho kila mtumishi anakifahamu,hivyo ni suala la utekelezaji.

Vilevile Kiwanuka aliwataka watumishi kuwa na utamaduni  wa kutunza Mali za halmashauri kwa maana ya kumbukumbu na magari,akasisitiza utunzaji wa majalada yanayokuwa na barua za maelekezo na maagizo mbalimbali."Barua zisichelewe kufika kwangu na kwa mhusika ili utekelezaji wa majukumu uende kwa wakati."Kiwanuka alisema.

Mkurugenzi aliendelea kuwaasa watumishi kutumia lugha za kiutumishi na zenye sitaha wanapokuwa wanawahudumia wateja,kuvaa mavazi yenye sitaha na yenye kulinda haiba ya Utumishi kwa mujibu wa waraka wa mavazi kwa watumishi wa umma."Tuvae nguo ambazo zinakubalika kwa mujibu wa sheria."Mkurugenzi alisisitiza.

Kwa upande wa ukusanyaji mapato aliwaagi watumishi wote kuwa wasimamizi wa Mapato ya Halmashauri kwani ajenda ya kupandisha Mapato ni ajenda ya kitaifa hivyo,"Idara na vitengo zijipange kwa kuweka mikakati mipya ya kupandisha Mapato na kubuni vyanzo vipya kwa misingi ya kuongeza Mapato katika Halmashauri yetu."Kiwanuka aliagiza.Mkurugenzi Kiwanuka alimalizia hotuba yake kwa kusisitiza suala la mahusiano mema kazini kwa watumishi wote na utunzaji wa siri za serikali kwa kila mtumishi wa umma,"Ni kosa kisheria kutoa siri au taarifa za serikali kama siyo msemaji au hujapewa idhini ya kutoa taarifa husika,niwatakie utekelezaji mwema kwa maelekezo niliyoyatoa."Kiwanuka alisema

Kwa upande wake Bi Miriam Kihiyo kwa niaba ya watumishi wa Halmashauri alitoa neno la shukurani kwa Mkurugenzi Kiwanuka kwa nasaha zake nzuri na kuahidi kutoa ushirikiano kwa Mkurugenzi na kuyafanyia Kazi maelekezo yote yaliyotolewa kwa mujibu wa sheria taratibu na kanuni.

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.