• Wasiliana nasi |
    • Maswali ya mara kwa mara |
    • Barua pepe |
    • Malalamiko |
    • Maoni |
Chalinze  District Council
Chalinze  District Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Wilaya ya Chalinze

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Halimashauri
    • Idara
      • Divisheni ya Miundombinu,Maendeleo ya Vijijini na Mijini
      • Divisheni ya Elimu ya Awali na Msingi
      • Divisheni ya Elimu ya Sekondari
      • Divisheni ya Kilimo,Mifugo na Uvuvi
      • Kitengo cha Udhibiti wa Taka ngumu
      • Kitengo cha Maliasili na Hifadhi ya Mazingira
      • Kitengo Cha Fedha na Uhasibu
      • Divisheni ya Mipango na Uratibu
      • Divisheni ya Huduma za Afya,Ustawi wa Jamii na Lishe
      • Divisheni ya Maendeleo ya Jamii
      • Divisheni ya Utawala na Usimamizi wa Rasilimali watu
      • Divisheni ya Viwanda,Biashara na Uwekezaji
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Mawasiliano Serikalini
      • Kitengo cha Usimamizi wa Ununuzi
      • Kitengo cha Michezo,Utamaduni na Sanaa
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Huduma za Sheria
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Utalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kilimo
    • Mifugo
    • Uvuvi
    • Utaalamu
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Fedha,Utawala na Mipango
      • Afya,Elimu na Maji
      • Uchumi,Ujenzi na Mazingira
      • Maadili
      • VVU/UKIMWI
    • Ratiba ya Vikao
    • Shughuli za Maendeleo za Madiwani
      • Kata ya Bwilingu
      • Kata ya Kibindu
      • Kata ya Kimange
      • Kata Kiwangwa
      • Kata ya Lugoba
      • Kata ya Mandera
      • Kata ya Mbwewe
      • Kata ya Mkange
      • Kata ya Msata
      • Kata Msoga
      • Kata ya Pera
      • Kata ya Tarawanda
      • Kata ya Ubenazomozi
      • Kata ya Vigwaza
  • Miradi
    • Miradi iliyoidhinishwa
    • Miradi inayoendelea
    • Miradi iliokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Service Client Charter
    • Mpango Mkakati
    • Ripoti
    • Fomu
    • Hatua
    • Miongozo
    • MATANGAZO
  • Kituo cha habari
    • Taarifa kwa vyombo vya habari
    • Video za shughuli za Ofisi au Kitaifa
    • Hotuba
    • Maktaba ya picha

Mkuu wa Wilaya Bagamoyo ataka Miongozo kuzingatiwa Katika Zoezi la Anwani za Makazi

Imewekwa: March 18th, 2022

MKUU wa Wilaya ya Bagamoyo Zainabu Abdallah  ameonya watu kushinikiza majina yao kuwekwa kwenye vibao na badala yake wananchi wanatakiwa kushiriki kukubaliana kwa pamoja jina litakalofaa kwenye mitaa yao.


Zainabu ametoa maelekezo hayo wakati akizindua zoezi la anuani ya makazi pamoja na sensa katika Halmashauri ya Chalinze ambapo litaenda sambamba na kuweka vibao kwenye mitaa na Vitongoji.


Akizungumza katika uzinduzi huo mkuu huyo wa wilaya alisema jina la mtaa linatakiwa kujadiliwa na wananchi walipitishe kwa pamoja na isiwe kwa matakwa ya watu wachache.


"Wapo baadhi ya watu kulazimisha mitaa kuandikwa majina yao, asiwepo mtu wa kulazimisha mtaa uandikwe jina lake makubaliano yafanywe na wananchi wenyewe" alisisitiza.


Mkuu huyo wa wilaya alisema Halmashauri hiyo tayari imepokea kiasi cha sh. Miln 81.6 kwa ajili ya kazi ya anuani ya makazi ambayo Halmashauri hiyo inatakiwa kuikamilisha ifikapo April 30.


Mwenyekiti wa Chama Cha  Mapinduzi (CCM) wilaya ya Bagamoyo  Abdul Sharif aliwataka wananchi kutoa ushirikiano kwa wataalamu lakini pia aliwasihi walioteuliwa kutekeleza kazi hiyo kuifanya kwa bidii.


Mwenyekiti wa Halmashauri ya Chalinze Hassan Mwinyikondo aliahidi kuwa kazi ya anuani ya makazi kukamilika kablq ya April 30 kutokana na vijana waliowateua kufanya kazi hiyo kutoka kwenye maeneo ya kwenye kata na Vijiji husika jambo ambalo litaleta urahisi kwao.


Naye Mkurugenzi wa Halmashauri hiyo Ramadhani Posi alisema  Halmashauri hiyo ina kata 15 kati ya hizo mbili tayari ziko katika Mamlaka ya mji mdogo ambazo zina barabara 288 na kata 13 zenye vitongoji 469.


Posi alisema Halmashauri hiyo itatoa kipaumbele kwa kazi ya anuani ya makazi kufanyika na kumalizika kabla ya April 30  kwa weledi unaotakiwa.


Mwajuma Selemani na Mwanaisha Juma waliipongeza Serikali ya Rais Samia kwa kazi hiyo ya anuani ya makazi ambayo itarahisisha kutoa maelekezo ya maeneo wanayoishi.

DC Zainabu akizindua zoezi la Mfumo wa Anwani za Makazi 

DC Zainabu akiweka kibao cha kutambulisha jina la Barabara katika Halmashauri ya Chalinze 

Matangazo

  • ORODHA YA MAJINA YA WALIOCHAGULIWA KUBORESHA DAFTARI LA WAPIGA KURA February 03, 2025
  • Tazama zote

Habari Mpya

  • PPRA yatoa Mafunzo ya NeST kwa Watendaji wa Kata na Wakuu wa Shule Chalinze

    May 08, 2025
  • Watendaji wa Kata na Vijiji wapewa Mafunzo ya namna ya kukusanya Kodi ya Majengo Chalinze

    May 07, 2025
  • PPRA yatoa mafunzo ya Ununuzi kwa watumishi wa Afya Chalinze

    May 07, 2025
  • Kamati ya Fedha,Uongozi na Mipango yafanya ziara kukagua miradi ya maendeleo

    May 06, 2025
  • Tazama zote

Video

Ofisi ya Utumishi yakutana na Watumishi wa ajira mpya Chalinze
Video nyingine

Viungio vya haraka

  • Mfumo wa Kiuhasibu wa Kuripoti fedha katika Vituo (FFARS)
  • mfumo wa taarifa wa kiutumishi (ess)
  • RIPOTI YA MKAGUZI MKUU WA SERIKALI 2020/2021
  • Mfumo wa Vibali vya Kusafiri Nje ya Nchi
  • Mamlaka ya Serikali Mtandao
  • Jinsi ya Kusajili na kupata namba ya mlipakodi (TIN NAMBA)
  • mfumo wa mrejesho serikalini
  • mfumo wa manunuzi wa umma

Viungio vya tovuni mhimu

  • Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa
  • Tovuti ya Mkoa
  • Tovuti ya Serikali
  • Tovuti ya Utumishi
  • Baraza la Mitihani la taifa
  • Tovuti ya Sekretarieti ya Ajira

Wasomaji Mbalimbali Dunia

world map hits counter

Idadi ya Wasomaji

Visitors Counter

Ramani ya eneo

Wasiliana nasi

    114 Morogoro Rd, 61383 Bwilingu

    Anuani ya posta: P O BOX 65 Chalinze

    Simu: +255232935403

    Simu ya mkononi:

    Barua pepe : ded@chalinzedc.go.tz

Anwani Nyingine

   

    • Sera ya faragha
    • Kanusho
    • Maswali ya mara kwa mara
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2018 chalinze district council . All rights reserved.